Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HIV meridian kwa nn hawaonyesh uptodate za mikeka km mkeka bet au mindosjawajulia vizr wakuu.
 
Nimegundua kitu nakuwa nachambua team mpaka odd 500, 170,150,133,75,86 na zote nakuta nakosa team tatu, mbili saa zingine hata unakuta ni moja tuu imechana. Sasa nataka niww naweka hapa mikeka yote kila mtu achambue hapo team zake tano tano ama tatu atakavyooamua yeye itasaidia.
Nice wazo
 
Mnaocheza shoots on goal sijui total shoots kuliwa ni rahisi sana aseee..... Nimejaribu kufanya kastudy kadogo.... Nimepitia application za "livescore " tofauti kama 12-15..... Kila moja ina takwimu zake tofauti za mechi hiyo hiyo moja.... Soccer24,forza,sofascore,flashscore,livescore,goallivescore,futbal24, besoccer,na kadhalika ....takwimu zinachengana...... Za mashoot on goal, off target na total shoots ...... Kuliwa nje nje
 
HIV meridian kwa nn hawaonyesh uptodate za mikeka km mkeka bet au mindosjawajulia vizr wakuu.

Bado hujawajulia vizur,Unatakiwa Ubofye pale kweny My Ticket...utaona all your Mikeka...kazi yako ni kubofya next au previous....

Tofauti yao; kama mechi umeshinda wanaandika Herufi kwa kijani...kama umeshindwa Nyekundu yakuhusu.
 
cbc59efcd49cc08acfa448b8188859e2.jpg
 
mbona hamtupi mafanikio ya jana ....................................
 
Wadau msaada jinsi ya kuweka pesa super bet...
Maana process zote nshamaliza hapa
hao mimi niliweka hela yangu via mpesa mpaka leo mpaka kesho hawaionesh kama imefka pia niliwapigia hawakunipa support nijue pesa yangu imekwenda wapi
 
Back
Top Bottom