Doooh!mchawi pekee kwa leo mpaka hapo ni France...yaani sometimes unashangaa kwa nini hukuweka corners ama shoots... Betting
duh!Iz dalili mfaransa atafanya kituko alotufanyia Brazil.
Kona haziwezi kupungua 9 kwa mechi hiiMjomba hata shoots ungepigwa mpaka sasa dakk 73 France ana shoot on target 2....
Mpaka sasa kuna kona 8 dk 76Mjomba hata shoots ungepigwa mpaka sasa dakk 73 France ana shoot on target 2....
Mi nilimpa Albania ushindi kwa handicap 3. Naona ushindi wa wazi labda miujiza itokee.Mjomba hata shoots ungepigwa mpaka sasa dakk 73 France ana shoot on target 2....
Hahaha...mie wangenibeba ila nishalizwa mapema tu hii ya France wala haina maana tena kwangu.Mjomba hata shoots ungepigwa mpaka sasa dakk 73 France ana shoot on target 2....
usingizi utapatikana sasa dkk 91France 1
Unatoa handicap 2 unahisi uko salama mtu anapigwa 5-0? Kweli huu mchezo hauhitaji hasira.Hahaha...mie wangenibeba ila nishalizwa mapema tu hii ya France wala haina maana tena kwangu.
![]()
Mkeka wa Mwisho;
Slovakia Win/Draw
Switzerland Win/Draw
France Win
Odds 2.6
Kama tupo pamoja tuendelee kuyabana[emoji38][emoji38]