Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

unajua siku ya kufa nyani lazima afe tu.. matokeo ya chile na mwenzake panama kufungana kama wendawazimu walio sikia copa america inasitishwa kesho.. mtu siku unawapa 2-6 lakini unajiuliza hiv watafikish goli mbili kwel, wanafikisha kwa shida sana lakini siku nyingne uwape 2-5 wanavuka bila tabu ***** zao kama jana wanafungan 4 kwa 2.. wanafikir magoli ni dili sana hawa mbwa

Hahahhahhah, Wasamehe buuure, hhahhah
 
Pole sn mkuu ...
 
Mmmh mwingine ameshapigwa 10 bila
 
Attachments

  • 1465985453940.jpg
    1465985453940.jpg
    15.6 KB · Views: 48
game sio ngumu sn kama inavyofikirik.. basi tu huwa hatuna discipline ya mchezo.. na kingine kikubwa investment kwny game bado ni shida kwa wengi wetu (wengne baada ya kupukutuliwa vilivyo na mindevu).. na woga pia ni adui wa bet (japo unasaidia)
ngumu kwamba wale unaoinvest mtaji mkubwa kwao ndio wanazingua mfano
brazil
austria
ureno
 
mnahangaika wakati mbet ipo ya kanjiba mihela kibaoooooo saiz voda tigo airtel wote unapiga tuuuu hamna haja ya kuhangaika na dakika mbili za kubonyeza button kuendana na kasi ya voda NAJUA NYOTE HAPO MNASMART andka tu mbet tanzania ktk google kila kitu pale
 
Unamaanishi nini?nyoosha maelezo
 
unajua siku ya kufa nyani lazima afe tu.. matokeo ya chile na mwenzake panama kufungana kama wendawazimu walio sikia copa america inasitishwa kesho.. mtu siku unawapa 2-6 lakini unajiuliza hiv watafikish goli mbili kwel, wanafikisha kwa shida sana lakini siku nyingne uwape 2-5 wanavuka bila tabu ***** zao kama jana wanafungan 4 kwa 2.. wanafikir magoli ni dili sana hawa mbwa
Pole sana kiongoz
Wanakera sana yaan, sijui huwa wanajua tunavyowawekea ubashiri. [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom