nashukuru sana kaka naogopa sana mawin saa hz yana majanga sana yaanover 0.5.. safi sana mkuu naona unaelewa vizur zaid uchungu wa kupoteza game kizembe lakini pia kutokuonesha ubabe wa kijinga wa kushindana kuchagua markets zenye maodds makubwa ili tu kusifiwa humu lakin baadae ufe peke yako..
ukiwafuata wanatoa 0-0Wakorea wote wametoa 2+ leo
ukiwafuata wanatoa 0-0
inaweza kutokaMimi nimewapa Over 2.5 bado goal moja tuu kwenye match ya Incheon vs Suwon nimpige Mhindi.
inaweza kutoka
meridian ni tatizo aseee..... kuna kaela kangu kalibakimo..... niingie nikatoe yaaani siwezi kulogin, nilikuwa nasikia tu watu wanalalamika kumbe ndio hivi....UNAWEZA KUWA MPANGO WA MHINDI JINSI YA KUTUPUNA , UNAJUA UNAPO LOGIN INAGOMA UNAJARIBU INAGOMA UNATULIA UNAJARIBU TENA INAGOMA UKIINGIA UMECHAGUA MECHI MOJA YA PILI MARA SERVER ERRO LAZIMA UWE FRUSTRATED HAUTOBET KWA UTULIVU LAZIMA ULIWE , NINACHOONA WANAFANYA MAKUSUDI HAWA JAMAAA...POLENI SANA MNAOTUMIA MERIDIAN.... TANGU NIANZE KUTUMIA PREMIERBETTING ONLINE SIJAWAHI KUKUTA HUU UPUUZI HATA SIKU MOJA....
![]()
![]()
hapo ni mkeka mmoja
hii ni premier bet kaka huo ni mkeka wa uwoga unaitwaAhhah, Ndugu we noma.Nimeipenda hiyo?
By the way;hiyo ni Kampuni gani??
mnahangaika wakati mbet ipo ya kanjiba mihela kibaoooooo saiz voda tigo airtel wote unapiga tuuuu hamna haja ya kuhangaika na dakika mbili za kubonyeza button kuendana na kasi ya voda NAJUA NYOTE HAPO MNASMART andka tu mbet tanzania ktk google kila kitu pale
mpaka kwenda huko kwa kwa hao wa usd nadhan kimtizamo ni mlolongo mrefu sana
---------------------------------------------------
- Wednesday 15. June 16:00
Tobol Kostanai vs Astana
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 1.50- Wednesday 15. June 14:35
Jiangsu Shuntian vs Guangzhou R&F FC
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.61- Wednesday 15. June 13:00
Jeonnam Dragons vs Ulsan
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 2.32
Total Odds = 5.6
mbet sijawah kuwabetia mm ni
meridian
premier
mkekabet
supabet tatzo lao ni jinsi ya kuingza hela