Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa Euro imechangamka first half over 1.5...tutegemeee magoli lukuki maana vibonde wanaanza kujitenga


Yeah km nlivyosema asbh, kuna timu hazikupata points kwenye round ya kwanza, so zitajitahidi kutaka kurekebisha mistakes ...in the process wanaweza wakajikuta ndo wanapigwa zaid coz watabadili tactics/technics
 
hahaha ukicheza single bana raha sana kama upepo unaenda vizur.. lakini matatizo ya kucheza multiple bana ni vice versa.. mda huu unasema wooooooyooooooo lakini kuna pumbavu kweny risit litakufanya badae useme waaaaayaaaaaaaa.. cku hzi tunaocheza multiple hakuna cha kelele (ni mkono tu ndani ya suruali) mpk mwsho..


Hahahahaha ... mkono ndani ya suruali km mm niliwapa Russia/Slovakia Under 2.5, ... najiandaa kuchana kbs.

nyingine ziko vzr so far ...

upload_2016-6-15_17-30-14.png
 
Nilikuwa mbet nikahamia meridian wenyeji naomba maelekezo ya kwenda mkeka maana nimefungua sielewi
Meridian kulog in kitendawili
#hatukomi
 
Ngoja tuendelee kutega nyavu
Kups vs hjk helsinki...x2
Fc jazz vs lahti....2
Romania vsswitzerland...x2
France win
 
Kama kuna timu ambayo haijawahi kuniangusha whatsoever ni FC Astana ya Kazakhstan ... hii timu naiheshimu kinoma, sijawahi kuibetia na ikaniangusha. Nimefanya mistake sn kuichanganya na wajinga jinga wengine leo.
 
Yan bado ninamawenge ya mechi ya jana ya angola. niliwapa over 2.5 wakafungana 2-0. Yan peke yao wamebakia mkeka unasoma m2.5, nilijifungia chumbani kusali goli liingie daah wapiii. Ila ipo siku ataa tu kanji.
 
Ngoja tuendelee kutega nyavu
Kups vs hjk helsinki...x2
Fc jazz vs lahti....2
Romania vsswitzerland...x2
France win


Ngoja nione km tunaweza kuvua wote hapa ... nimekufuata mjomba. Nilichovuna jana kwa Kanjibah nimeshamrudishia nusu mpk ss. Nikifeli na hapa itabidi itoshe kwa leo. (bet slip #3)
 
yuro uchawi mtupu ngoja nibariz pembeni, asubuhi nitajua kama wachawi wapo brazili au la

3/3
0534 15-06 21:00 Osasuna-Girona
Total Goals2+
1.52
1430 16-06 03:00 Botafogo RJ-America MG
Final Score1
1.76
1434 16-06 03:00 Santos-Sport Recife
Final Score1
1.43

Total odd3.83
 
Back in Business, Here we Go. NDINDINDINDI. Kama Rambo Vile.

CA Osasuna v Girona FC Y Odd 2.22
Stake 100k
Return , 220000

Hawa girona wameniokoa sana mwezi huu. Natumai leo hamtaniangusha kijana wenu.
 
Nilikuwa mbet nikahamia meridian wenyeji naomba maelekezo ya kwenda mkeka maana nimefungua sielewi
Meridian kulog in kitendawili
#hatukomi
Bonyeza ticket alafu huu Julia utaona my ticket bonyeza utaziona
 
Muhimu mtaji mrefu ila sio unawekeza kwa mitimu mijinga kama Portugal
Brazil
Hawa mbwa wawili hawa hata wakose kombe tu maana hakuna jinsi
 
Russia GG
Swirtzerland win o draw
Sao paulo i1-2
Cruzeiro 2-4
Bate win
Minsk 2-5
Lahti 2+
France i1-2
Russia k[emoji106] imebak wengne..nlimpa mtu asubuh wa osaka ikauwa zikatik zngne ila thanx alicover...
 
Back
Top Bottom