Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chaliiiiiiii .... daaah Ulsan hata wewe??? tena kwa kibonde Jeonnam??? hii kazi ni ngumu lkn kitaeleweka tu. #AlutaContinua
Dah Jana alichonifanya ureno sina hata hamu ya kuweka mkeka Leo. Nlichambua mechi zangu mda mwingi sana zote zimetik isipokuwa yeye tuu ktk mikeka miwili. Nyambafffu
 
Dah Jana alichonifanya ureno sina hata hamu ya kuweka mkeka Leo. Nlichambua mechi zangu mda mwingi sana zote zimetik isipokuwa yeye tuu ktk mikeka miwili. Nyambafffu


Pole sn kamandaa ... Portugal jana waliwadharau Iceland wakawa wanacheza utafkiri wanaongoza 5-0. Walifikiri magoli yatakuja automatically ... sheeeeeeeenz kbs.
 

Pole sn kamandaa ... Portugal jana waliwadharau Iceland wakawa wanacheza utafkiri wanaongoza 5-0. Walifikiri magoli yatakuja automatically ... sheeeeeeeenz kbs.
Imagne nimechambua mkeka wa odd 560
Na wa odd 176 zote yeye ndo kaua hapa nimeonelea hata nkitupia kibapa kidogo nitanitesa tuu mana nliiona hela hii hapa kabisa duuh[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji32]
 
meridian ni tatizo aseee..... kuna kaela kangu kalibakimo..... niingie nikatoe yaaani siwezi kulogin, nilikuwa nasikia tu watu wanalalamika kumbe ndio hivi....UNAWEZA KUWA MPANGO WA MHINDI JINSI YA KUTUPUNA , UNAJUA UNAPO LOGIN INAGOMA UNAJARIBU INAGOMA UNATULIA UNAJARIBU TENA INAGOMA UKIINGIA UMECHAGUA MECHI MOJA YA PILI MARA SERVER ERRO LAZIMA UWE FRUSTRATED HAUTOBET KWA UTULIVU LAZIMA ULIWE , NINACHOONA WANAFANYA MAKUSUDI HAWA JAMAAA...POLENI SANA MNAOTUMIA MERIDIAN.... TANGU NIANZE KUTUMIA PREMIERBETTING ONLINE SIJAWAHI KUKUTA HUU UPUUZI HATA SIKU MOJA....

Mkuu acha tu, Meridian hapo ndo tatizo lao..kuLOG in sometimes hadi jasho, ila mi niliwagundua....ikitokea hivyo,Huwa nabadilisha Browser nyingine( so huwa nabadilisha Browser kuLog in)

Ugomvi wangu kwao ni ucheleweshwaji wa Withdraw...unakuwa unasubir masaa kibao kama M-bet tu...

Vinginevyo wana option nzur sana,hadi wananivutia niingie hivyo hivyo sometimes..hahahha

Mkeka bet,wamenikamata, Fast to withdraw..saafi.
 
haha sasa ukitaka kuona maajabu siku wawekee hata 1+.. watashindwa hata kufunga hilo moja utadhani waliishia kusalimiana tu uwanjani.. siku hizi uwezo mkubwa uko kweny kuminya kende sio kukuza mitaji..kuwa mwangalifu mkuu



Hahahaha, eti walienda uwanjani kusalimiana tu ... teh teh teh, watu mna maneno.
 
upload_2016-6-15_15-59-20.png


Wazee wa InPlay..hapo vipi?
 
Katika watu wabovu ni mbet maana option zao za kishenz sana Kwa mchezo mmoja uwez weka zaid ya option tatu.
sasa mbona hao wenye options nyingi si ndio wazuri mkuu? au unasemaje? labda sijakupata vizuri.
 
Namanisha option zao ni chache mno,option unayoweza kucheza Kwa wakat mmoja ni Home w,DR or lose,Handcup and 45min,zilizobak zote zinachezwa as single option uwez changanya huu ndo upuuz wao.
 
mkuu vp uharaka wao kweny kuweka pesa na kutoa? na wameanza lini hii system ya kulipia tigopesa na mpesa?
Aseee nna zaidi ya mwezi nacheza premier besting online ...sijui wameanza link exactly..... Pesa wako fasta kuweka ndani ya dkk2 chap ...ila kutoa ni ndani ya 24hrs
 
Back
Top Bottom