Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama kuna timu ambayo haijawahi kuniangusha whatsoever ni FC Astana ya Kazakhstan ... hii timu naiheshimu kinoma, sijawahi kuibetia na ikaniangusha. Nimefanya mistake sn kuichanganya na wajinga jinga wengine leo.

Hahahahahahahahhaha
 
Back in Business, Here we Go. NDINDINDINDI. Kama Rambo Vile.

CA Osasuna v Girona FC Y Odd 2.22
Stake 100k
Return , 220000

Hawa girona wameniokoa sana mwezi huu. Natumai leo hamtaniangusha kijana wenu.
mkuu Y ina maana gani?
 
Yan bado ninamawenge ya mechi ya jana ya angola. niliwapa over 2.5 wakafungana 2-0. Yan peke yao wamebakia mkeka unasoma m2.5, nilijifungia chumbani kusali goli liingie daah wapiii. Ila ipo siku ataa tu kanji.
Mkuu mi portugal alichonifanyia sitaki hata kusimulia nimekosa ngapi na nimepoteza ngapi. Odds ilisoma 368 yeye tu ndo kachana.
 
Kama tupo pamoja tuendelee kuyabana[emoji38][emoji38]
Hahaha...yaachie tu mkuu hali ni mbaya, mie nyavu zote zimevua magugu maji tu, nimebakiza moja tu nayo ni ya kuyabana hasa maana Osasuna kaanza na mkwara mzito, nimewapa under 2.5 afu wanafunga kabla hata ya dak ya 10.
 
Mkuu mi portugal alichonifanyia sitaki hata kusimulia nimekosa ngapi na nimepoteza ngapi. Odds ilisoma 368 yeye tu ndo kachana.
Teh teh Jaluo nyeupe we unasema 368 Mimi sikupenda hata kuattach hapa mana ingenisumbua ubongo kila nkiiona Mimi mmoja ilikuwa 560 na kwingine 176 guess nlikuwa nliweka kiasi gani, na nlikuwa nasubiria hela kiasi gani. Ilikuwa ni hela ya kwenda kununua hekta kadhaa mkuranga na mtaji mnono ubakie na zote kaua yeye. Ila one day YES
 
hainaga ushemeji tunakulagaaaaaaaaaa .. naombeni timu mbili za usiku huu
 
4/4
0029 16-06 16:00 England-Wales
Total Goals0-3
1.25
0030 16-06 19:00 Ukraine-N. Ireland
Draw No Bet1
1.19
0550 16-06 02:30 ABC-Gama
Draw No Bet1
1.14
0031 16-06 22:00 Germany-Poland
Total Goals0-3
1.40

Total odd2.37


nipige kabisa wa kesho mstakabali wa cm sijauelewa bado.
 
Back
Top Bottom