ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
Kama anachobaki nacho kanji ni robo chukua chakoNiliwahi weka mkeka 50k inaleta kama 770k nilicheza live, timu zote zikatoa akabaki mchawi mmoja nilimuomba goli Moja tu timu ya nyumbani, mpaka dakika ya 89 kapigwa 0-4 afu timu niliyoomba goli dakika za 80 akapigwa red mbili, Cha ajabu dakika ya 89 kanji bado anatoa cashout ya 43,000, nikaivuta fasta nikasema hii napiga ata bia, yaani ile imeingia tu sijatoka hata online mechi ika shake nikajua dakika ya 90 mpira ndo unaisha, mjinga akapiga goli, aisee kitendo Cha dakika Moja niliumia sana aisee... Nikasema sitakaa nicashout tena,
Siku Hio Hio nikaweka laki nikawapa wakubwa wote washinde normal tu, mechi zinaanza Muda mmoja odds kama 6 ivi inakuja laki 6 na maokoto, mpaka half time cashout laki 5 wote wanaongoza nikasema ya Nini na nilishaapa sita cashout tena, huweza amini Kuna mjinga full time alipigwa 3-1 na underdog!!!
Kanji Hana formula
EBABC1A Hiyo hapoNaomba code ya hii asee
Screen shot bhana tutembee nazo,, c unajua app ni tofauti tofautiDirect win.
Betpawa
1F82795
Odds 65.
Mechi 10.
Nmefanikiwa. Kumbe hadi uwe na appLabda kwako tu
Mwamba ulipotea saaaan safi sana kama umerudi
Direct win.
Betpawa
1F82795
Odds 65.
Mechi 10.
Licha ya hilo. Zote ni kama zilitoa 3+Jana Bundesliga timu zote za Nyumbani zilishinda
Edited code 1xbetDirect win.
Betpawa
1F82795
Odds 65.
Mechi 10.
Maajabu leo nyau nyau ,,,, dah betting bhanaLicha ya hilo. Zote ni kama zilitoa 3+
[emoji38][emoji38][emoji38] hii code kama kvant vile!
NAENDELEA KUSISITIZA KUBET SIO MCHEZO WA KUBAHATISHA KAMA UNA MTAJI MIMI NINA ODDS TUSHIRIKIANE USINIPE HATA MIA KABLA ILA TUKILA USILETE TAMAAView attachment 2621387View attachment 2621388