Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante mkuu.
Mimi leo sijaangalia account zangu nimepitia mkeka wa karatasi.
Leo naweka minne ya buku buku tu. Tuone itakuwaje

Leo ni hivi Barca,madrid, arsenal,totternham, parma, napoli,inter,milan,hull,bodeux

Mkuu naona shangwe leo. Mitaji iliyopotea imerejea kwa mkupuo. Hheheheheee.
 
Mimi nina swali ambalo halijapata majibu mpka leo, nini maana ya zero bet kwenye live in play(kubet wakati mechi imeshahanza) bet ya meridian
 
Leo napumzika jamani, hongera andybird na wote mlioshinda...
 
wekeni mikeka mtusaidie na wengine, mimi nimeliwa sana mpaka juzi niliweka mechi nne tu za shehe appoh nikarudisha mtaji wangu. nafuatiia comment za wadau wanazoziweka kwenye amkeka wa andybird aliouweka leo ,tafadhari tusaidiane ili tumfirisi huyu mhindi
 
Dah wazee wenzangu leo nimeamka na hangover za jana nikaingia sokoni online nikakutana na lokomotiv vs zenit nikaweka pesa mingi Kuja kuprint risit nakuta Zenit ya watoto. Dah sina amani kabisa na hawa watoto.
 
Dah... mkuu unachezea shilingi chooni
 
Sasa hivi mambo ya kuweka buku nile laki sitaki tena. Naweka kilo mechi moja tu yenye average odd ya 1.5 Mwisho 1.7.. Nakua nakula 50 had 70 per day.. Kwa wiki nina above 350.. Heri ya haya kuliko kila siku kuaribiwa na timu moja tu
 
Ukifanikiwa tuletee feedback...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…