Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Hahahah ... hilo nalo neno! lakn unaweza kuta kuna mchawi hapo ... huyu Kanjibah ndumba zake kali sn aseee.
 
Hakuna option ya uhakika ...hii option last ilimnyima MTU pesa...Vardy aliingia na kupiga goli
 
Mkuu naomba msaada nimejisajili meridian sasa nikienda pale kwenye join naweka email yangu na password wananiambia player not found nini tatizo
 
snipping tool ni device ipo katka computer kwa wanatumia pc kubet basi wanaweza kuitumia katka ku share nasi mikeka yao inafanana na screenshoot/capture,
kama hivi yaani
 

Attachments

  • upload_2016-6-20_10-48-13.png
    44.9 KB · Views: 35
Mkuu naomba msaada nimejisajili meridian sasa nikienda pale kwenye join naweka email yangu na password wananiambia player not found nini tatizo

ingia kwanza kwenye email yako ili umalizia usajili/signup then utaona umetumiwa link ndio uingie then itakuwa powaaa
 
Mkuu naomba msaada nimejisajili meridian sasa nikienda pale kwenye join naweka email yangu na password wananiambia player not found nini tatizo
mkuu umesha jiunga? kama teyari huhitaji kubonyeza sehemu uliyo andikwa join bali sehemu iliyo andikwa login baada ya kuwa emesha weka e mail na passwords au kama kuna email walikutumia ya ku verify account jaribu kuifungua

na kisha fuata link waliyokutumia au kwa msaada zaidi wapigie.
 
hii option ya m bet inaitwa super1x2 unabetia timu 12 upate zote wakupe 57.7M
UKIPATA 11 10 au 9 unalipwa pia ila mkishinda weng mnagawana wengi huwa tunabet bila kujua wanacofanya ukipata timu 11 unapewa hata laki2 haifiki
matokeo yaliopita
 
Naona kuna memba mpya karibu kaka BETTING ni uwanja wa uvumilivu sana
Na ukianza ni kama ngono huachi katu
 
Msaada jamani hii optioni wasipofungana ina maana ndo nimeliwa?
 

Attachments

  • 1466414875691.jpg
    10.2 KB · Views: 31
Mdau hii unakuwa safe kama Sub ni kaingia Beki au Kiungo.... Akiingia striker inabidi ubane kende kwa kiwango cha PhD.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…