Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kipindi cha kwanza ziliingia goli 5 kipindi cha pili zimefika 3 dk ya 71 endelea kuomba goli nyingine tatu inawezekana kabisa. Kila la heri
Duuuh mamaaae walahi..... Wametoa aseeee wefungana 8-3..... 6 kipindi cha pili manina walahi..... Bado timu moja
 
Duuuh mamaaae walahi..... Wametoa aseeee wefungana 8-3..... 6 kipindi cha pili manina walahi..... Bado timu moja

Aseee Si nilimuachia jamaa anibetie mitandao ilipokuwa inasumbua ndio nimefata mkeka kumbe kaongeza wasweden wa3.....wakorea hawakuwepo kwenye fixture ....maombi zaidi khaaaa
 
Duuuh mamaaae walahi..... Wametoa aseeee wefungana 8-3..... 6 kipindi cha pili manina walahi..... Bado timu moja
Hahaaaaa. Kaka nilikuambia na bado mechi haijaisha. hii noma.

Kama ww ulikuwa umeziachia wenzio tulikuwa bado tumezibinya kwa niaba yako tukimuomba Mungu abadili Football kuwa Netball
 
Maombi yenu plz nahitaji Bangkok glass Utd na Bec Tero Sasana washinde ili nifunge mahesabu mchana huu
 
Haaaaaaaa! Nimecheka sana aise Mimi Jana nimemtumia mama laki moja kutoka kwenye mtaji.

MPE Iceland ashinde au adroo hutojuta kamwe
Mm hapo nimewekeza pesa nyingi sana


Hahaha ... watu mpo kibaruani, safi sana.
 
Nilimuandikia urawa, Seoul, ulsan na hawa wathailand , urawa hajamweka hawa wakorea hawakuwepo .kwenye fixtures za premier jamaa kaniongezea mitimu ya Sweden ....dah poa tu nlikua najaribu kwa jero ....angekuwa kabaki bangkok tu ...ila ndio safari ishakuwa ndefu
 

Attachments

  • IMG_20160622_165526.jpg
    159.2 KB · Views: 44
Kwa nn mnabet stake ndogo hivyo?
 
hiyo ni option gan mukuu??
 
WAKUU WOTE WA KUBET NAWASILIMU.......NIWAPONGEZE WOTE WALIO KATIKA MFUNGO NA WAMEVUMILIA MPAKA SASA.....PIA KWA WALE WENZANGU WA KRISTO BWANA ANAZIDI KUTUPA NGUVU.

NAOMBA NITOE WAZO AMBALO NI ZURI TU KWA MOODS WA SPORTS FORUM KWAMBA HII THIRIDI YA Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet) - Karibuni tubashiri Mechi za Leo! INAKUWA NDEFU SANA KIASI KWAMBA MTU AKITAKA KUFUATILIA ISSUES MBALIMBALI KAMA USHAURI NA MENGINEYO YA WADAU INAKUWA NGUMU KUANZA KUFUNGUA THIRIDI KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO MNAONAJE KAMA MOODS MABOSI WETU WAKAANZISHA BETS FURUMS HALAFU IWE KAMA SUB FORUM KWENYE SPORTS FORUM? NI WAZO LANGU TU WADAU ILI KWAMBA MTU AWE NA WIDE RANGE YA KU KUTUPIA MAWAZO YAKE NA KUFUATILIA MAWAZO YA WENGINE

CC:
Active
Mod 3
Mhariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…