Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Hongereeni mm nilimpa Urawa winHahaha .. na mimi nimewapa 2+ pia, walipewa odds 1.30 (mkekabet). Dalili nzuri
Hongereeni mm nilimpa Urawa winHahaha .. na mimi nimewapa 2+ pia, walipewa odds 1.30 (mkekabet). Dalili nzuri
Jamani angalieni hii ligi ya Thailand inaanza saa nane
Hongereeni mm nilimpa Urawa win
Kaka mm naamini Kanjibai huwa ni mchawi mm nilishakataa kucheza direct win, nashangaa nini kimenitokea leo. Jana nimemla Mhindi laki nane naona anazirudisha sasaDaaah, hawa wajapani cheza magoli wakusoma. mm niliwapa Y hao. namsubiri urawa apate goli tu nimle muhindi.
ZAGLEBIE LUBIN ashatoa Y tayari.
jioni nawapa UTENIS UTENA Y naweka 50k
Kweli crazyCrazy betting ... kwa Jero (TZS500) naiskizia 900K, hahahahah ... wonders do happen !!!
----------------------------
- Wednesday 22. June 19:00
Iceland vs Austria
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 3.60- Wednesday 22. June 19:00
Hungary vs Portugal
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 10.10- Wednesday 22. June 22:00
Sweden vs Belgium
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 1.84- Thursday 23. June 01:30
Ponte Preta SP vs Cruzeiro MG
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 2.70- Thursday 23. June 03:45
Atletico Belo Horizonte MG vs Corinthians SP
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 3.70- Thursday 23. June 03:45
Fluminense RJ vs Santos SP
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 2.70
Total Odds = 1804.56
Nawaelewa vizuri sana hao, wanahitaji draw tu, double chance sawa lakini sio ushindi, Portugal anahitaji zaidi hiyo mechi na watacheza kufa na kupona.Chief, Hungury usiwachukulie poa aisee ... walimpiga Austria na wanaongoza kundi, pia anahitaji ushindi.
Ngoja nitupie 200 hapoHahahahaha ...
Nawaelewa vizuri sana hao, wanahitaji draw tu, double chance sawa lakini sio ushindi, Portugal anahitaji zaidi hiyo mechi na watacheza kufa na kupona.
Kaka mm naamini Kanjibai huwa ni mchawi mm nilishakataa kucheza direct win, nashangaa nini kimenitokea leo. Jana nimemla Mhindi laki nane naona anazirudisha sasa
Mambo sasa safi, kanjubay ataisoma leo...hahahaHongereeni mm nilimpa Urawa win
tunapga aiseee kashatupia la 3Hongereeni mm nilimpa Urawa win
Hhaaaaaaa! Aise kama utani yaani mm nishapotezea kitambo maana niliweka 70k nikajua hiyo imeenda nashangaa eti anaongozaasnte urawa kama mlijua dau nililoweka kumfata wakusoma
Nilikuwa nishanywea, wangejua jinsi gani nilihangaika kudeposit hela afu wakataka kuchana mkeka asubuhi...hahahaCc bologna
Buddy
Sumve
+Urawa