wakogo 96% accuratemzigo wao wa leo
na hii ni ya jana..... jamaa wana jiita
www.clevertips.net ....baada ya kujihakikishia unaweza kuwatembelea na kuwafuata.... wako vizuri
Sina hamu, Kanjubay karudisha yake, ngoja tujipange.Umeona kilichotokea...... Mechi iliyofikisha goli 3 ni moja tu
Nilisita kujilipua,Mkuu Bet Loss Spain Kaanza Pata Kona
Muhindi alikaa vipi wakati alichana?Nilisita kujilipua,
nikaamka usku nikawapa double chance vasco da gama. atletico go na toronto win normal. Muhindi alikaa.
ukitest unashindangoja nitest
View attachment 358542
ukitest unashinda
ukiweka unapigwa za usooo
kuitoa iyo hofu ndo uwa shda cus hutaki utusuliwe..Hahahah ... unajua tatizo tunapotupia mkeka wa 'ukweli ukweli' tunakuwa na uoga flani ambao ndio unaharibu. We become too much cautious.
Bado mpesa wanasumbua.Duh..najaribu kudeposit kote Mkekabet, Premier bet na Meridian kwa M-Pesa inagoma, hili tatizo limeanza tena?
Yaani mm nilideposit siku 3 zilizopita primier..kwenye a/c yangu ya primier haisomi wala Mpesa naona hizi nitakuwa sadakaBado mpesa wanasumbua.
kuna hatari ya Czech kuharibu sherehe hapo
Wako vzr sana aiseena hii ni ya jana..... jamaa wana jiita
www.clevertips.net ....baada ya kujihakikishia unaweza kuwatembelea na kuwafuata.... wako vizuri
huku meridian ipoIt's high time mkekabet nao watuwekee option ya ku-turbo payment, hahahahah