imerudi tudeseLeo kuna kila ishara za kupishana na pesa, M-Pesa imegoma mpaka muda huu.
Iceland Vs Austria
Draw no bet Iceland win
Odds 2.64
Hizi odds hata iweje siwezi kuziacha. Naweka laki tano hapo.[/QUOT
Eaustria aondoke kapa
Hehehe...nishafanya mambo.imerudi tudese
Hahaha...leo umefanya vyema, jana ulijilipua kwanza ndo ukaja na nlikuambia Spain angekufa ila haikuwa na maana tena, hizo odds zinatia hamasa aisee, hapo hakuna namna.Iceland Vs Austria
Draw no bet Iceland win
Odds 2.64
Hizi odds hata iweje siwezi kuziacha. Naweka laki tano hapo.
Kaka mm jana spain sikumpa nilivyoona Mkeka hawajaweka double chance nikampa German na poland tuHahaha...leo umefanya vyema, jana ulijilipua kwanza ndo ukaja na nlikuambia Spain angekufa ila haikuwa na maana tena, hizo odds zinatia hamasa aisee, hapo hakuna namna.
II1+ ITATOA TUJILIPUEE?Jamani angalieni hii ligi ya Thailand inaanza saa nane
Iceland Vs Austria
Draw no bet Iceland win
Odds 2.64
Hizi odds hata iweje siwezi kuziacha. Naweka laki tano hapo.
Haya xax moja hiloUrawa red Diamond win
1.74
Wacha nihangaike nayo
Hapana, Portugal hatakubali kufungwa, anahitaji draw hasa ya 0-0 aingie kwenye playoffs na akifungwa anaaga so hatakubali kukosa hata draw.daah Milioni ya nje nje hiyo ... Iceland atashinda hiyo game. Hungury wamempa odds 9 ... na nahisi atashinda game ya Portugal.
Waoooo,thanx Tokyo,yoyote ashindilie la pili sasa!
Hapana, Portugal hatakubali kufungwa, anahitaji draw hasa ya 0-0 aingie kwenye playoffs na akifungwa anaaga so hatakubali kukosa hata draw.