Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #3,501
Ht hii ya vibandani?
yap yap inakua bora zaidi maana lig ya italy niijuavyo haina magoli kivile
vibandani meridian ndio..
Nielekeze jinsi ya kudeposit ktk iplaycasino
Leo napumzika jamani, hongera andybird na wote mlioshinda...
mkuu jinsi gan ya kudeposit kwa m pesa ktk iplay8casino
Tigo pesa Mpesa process ni ile ile, Nenda kule kwenye namba ya kampuni ambayo ni 888866 namba ya kumbukumbuku unaweka namba yako ya simu uliyoweka kule kwenye registration iplay. Zile namba za risiti kwenye mesej za mpesa utazituma pamoja na kiasi ulichotuma kwenda roburt@iplay8casino.com au leko@iplay8casino.com
duh, hongera bhana....ila ww ulivo si ajabu unaweka yote! hahaha
Hongera mkuu,umetupa moyo wa kuendelea, hyo nayo ni ya meridian kibandan au online?
Af ufanye mpango uitumie kwa matumiz mengne mana we huchelew kuibetia yote upate bilion, haha
Msisahau ligi ya italy game nyingi huwa ni rafik wa 0-1,0-2 kwa lugha rahisi ni under 1.5
Mkuu ligi za Italy na Turkey usipende kuweka mzigo mwingi sana, mafia wanapiga sana match fixing
Mkuu ligi za Italy na Turkey usipende kuweka mzigo mwingi sana, mafia wanapiga sana match fixing
Nimeangalia fixtures za katikati ya week nikaona akuna kitu, litakalotokea na litokee faida yote ya jana nimeweka hapa..
Mkuu huu total odds zimekuja ngapi.?
1.62 tu