Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pesa imekataa.

Ngoja niwasubiri Irend
Hahahaha...hongera mkuu ila sio kwa kuyabana kule, timu inashinda na mpira unaisha, sipatii picha mie leo nimeipa mechi ya Italy under 1.5, nahisi takufa kwa pressure.
 
Hahahaha...hongera mkuu ila sio kwa kuyabana kule, timu inashinda na mpira unaisha, sipatii picha mie leo nimeipa mechi ya Italy under 1.5, nahisi takufa kwa pressure.
Jamani siamini kilichotokea ngojea niweke huo mkeka hapa muuone
 
Yani hapa bado nafikiria ni kwa nini wamempa austria poont ndogo kushinda huku iceland amepewa nyingi huku iceland ndio anahitaji ushindi zaidi ili apate nafasi
Usiwachukulie poa Austria mkuu, bado wako na nafasi ya kufuzu wakishinda so ni mechi ngumu hasa.
 
Bado naiwaza sana hii pesa nilivyoipata. Wacha tu nikaitoe sa daka.
 
Reactions: PNC
Daaah, hawa wajapani cheza magoli wakusoma. mm niliwapa Y hao. namsubiri urawa apate goli tu nimle muhindi.
ZAGLEBIE LUBIN ashatoa Y tayari.
jioni nawapa UTENIS UTENA Y naweka 50k

Bologna, Utenis tayari katoa Y....

Bet Won
 
Wakuu Wale Wa Premier Betting Kuna Game Imekuwa Cancelled Katika Mkeka Inakuaje Wananirudishia Huo Mtonyo Au Wanaiexclude Ile Game Iliyocanceliwa.
Msaada Tafadhali.
 
Nataka niweke hela mkeka kwa mpesa inaniambia~ Imefeli mpesa haiwezi kukamilisha shughuli kwa 238844.....Kunaaliyepata tatizo Kama hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…