Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

duuuh meridian pesa haingii tangu mchana kwa mpesa!! kuna mwenye similar problem
 
Hivi mwenye uzoefu na Meridian na premier bet endapo kwenye mkeka timu zote zikakubali alaf moja tu ikawa abandoned au canceled. Maana namikeka miwili inasoma mpunga mzuri tu ipo pending hadi mda huu.
 
Kwenye meridian kuna option ya turbo,unaweza kuitumia kama mechi hiyo iliobaki haijanza.
 
Hivi mwenye uzoefu na Meridian na premier bet endapo kwenye mkeka timu zote zikakubali alaf moja tu ikawa abandoned au canceled. Maana namikeka miwili inasoma mpunga mzuri tu ipo pending hadi mda huu.
UMEBET ONLINE AU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…