jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,773
- 1,614
Nashukuru kiongozi, af odds kumbe zilikuwa n 4+Hongera Jose.
asante mkuuHongera mkuu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
hongera sana , euphoric state ya kushinda hadi nmeisahau ni kunyooshwa hadi bhasiii...BET WON
kawaida mkuu, jana niliingia mkekabet nikakuta game moja ina odd kidogo nikasema niweke 4800, kuja kuchek nimeweka 48000 stake na ikapigwa, maumivu balaa ila mara nyngne tunamuotea kidogo kidogo mkuu fuchongera sana , euphoric state ya kushinda hadi nmeisahau ni kunyooshwa hadi bhasiii...
hahahaaaa hatari sanadah..kipindi cha mpito hiki watu huwa wanaliwa kupindukia.. haimaanishi hatujui kuwa kucheza kipindi hiki ni risk sana, tunajua ila kuacha imekuwa ngumu tu (tutafanyaje sasa).. wengine tunavamia kila league mpk league zingne zinaitwa j-league kama tumelogwa vile (ee bwana utusaidie).. subira yavuta heri lakini kwetu imekuwa bet haraka-haraka ili heri ivutikie kibindoni (ee bwana utuokoe).. mwezi august umekuwa mbali sana..
pole sana mkuu....Dah wa maskini hakika hazai..... Najua nimeamka na kamtaji lol..... Niliwapa NO BOTH TEAM TO SCORE afu criciuma katoa 1-1 peke yake ....
Wajapan wanatoa 3+ mara nyingi,hapo weka kwa wachina na wakorea ni wagumu kufungana ovyo.Nataka kucheza mechi zote za China,Japan na Korea U 4.5,ushauri hapo tafadhali
Nataka kucheza mechi zote za China,Japan na Korea U 4.5,ushauri hapo tafadhali