final score ni tatizo boss...magoli huwez lala njaaOdds 12
Start time; 12:01pm - 01:30pm
Cerezo WIN
Consodale WIN
Roaso WIN
Jeff WIN
Unaweza jichagulia kadhaa...au ukaweka zote.
#Tutafika tu#
Chukua chako mapema..kanjibah anakutazama tu..Sijui niu-turbo huu kabla hawajaaribu shughuli ... bado timu mbili kwny huu mkeka. Niturbo nipate 125K au niuache nipate 260K
View attachment 360326
Alafu Korea hao wala sio wa kuwamini...Sijui niu-turbo huu kabla hawajaaribu shughuli ... bado timu mbili kwny huu mkeka. Niturbo nipate 125K au niuache nipate 260K
View attachment 360326
Chukua chako mapema..kanjibah anakutazama tu..
Naam...maana kanjibah ukimkata bora umchomoe kabisaa...isijekuwa majuto ni mjukuu..chukua tu hizo si habaHahahah ... asante kwa ushauri. Basi ya supu imepatikana. Ngoja nivute fasta ... kwa hii option Meridianbet ninawakubali sn.
Yaani Leo sijui hata nianzie wapi, maana naona mechi nyingi na pesa Ipo nyingi lkn bila umakini unaweza shitukia mhindi anatuumiza.
Jamani acheni panik Leo tutulie pesa mingi sana
Hawa wenye betting sites mbona hawatuwekei hizi timu za Ufilipino aisee ...
View attachment 360343
Yani unaweka Over 6.5 (first or second half) halafu unatulia kusubiri mtonyo.
Bado nipo kanisani wangu, lkn asbh niliacha nimejaribuSawa Wa Kusoma, haya hebu tuonyeshe njia ya kuzipata ...