Hahaahahahaaaa pole sana hapo kuna kila dalili maana cjui kama France watakubali watokeHahahah ... hapa ndipo tunasemaga mpira unadunda, kuna mkeka nimeweka Under 1.5 hii mechi ya France vs Rep.Ireland, sasa you can imagine kazi niliyonayo na kuminya ... yani mpk dk 90 zinaisha ntakuwa nmetoka jasho la kutosha