Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1153922946084 Bonus account
1/1
0480 27-06 03:00 Argentina-Chile
Final Score2
4.60
Total:20000.00
Total odd4.60
Win92000.00

Dah chile
 
Da hawa wabrazil nyoko yaani walibaki wenyewe tu
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1467003553514.jpg
    uploadfromtaptalk1467003553514.jpg
    66.3 KB · Views: 42
  • uploadfromtaptalk1467003569105.jpg
    uploadfromtaptalk1467003569105.jpg
    55.6 KB · Views: 41
Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, jana kuna mechi 3 nilibeti kati ya hizo mechi moja ilikuwa cancelled na nyingine mbili zilienda safi.

Sasa mpaka sasa Mkeka wangu unasoma pending na hiyo mechi ya Vasalund If Vs Pitea If bado iko pending na sijui itachezwa ini
 
Ulibet kwa kampuni gani mkuu, mana kampuni nyingi huwa wanasubiri kwa siku chache kujua imepangwa lini hiyo mechi ndipo aidha waipe odd ya 1 au wasubirie ichezwe.

Ila kama ni kampuni ambayo unaweza kufanya cash out ni bora ui cash out kama hawajaipa tarehe nyingine mpaka sasa.
 
Leta mkeka ROOT,tatizo unakuja kwa kuchungulichungulia tu kinachoendelea.

Nimewahamu sana "matee","cute b","Raimundo","MSOMSO"
 
Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, jana kuna mechi 3 nilibeti kati ya hizo mechi moja ilikuwa cancelled na nyingine mbili zilienda safi.

Sasa mpaka sasa Mkeka wangu unasoma pending na hiyo mechi ya Vasalund If Vs Pitea If bado iko pending na sijui itachezwa ini

Hapo ndipo napowakubali meridianbet (ungeu-turbo tu) ...

Mkekabet km hiyo game haijapangwa within 24hrs wanakupa odd ya 1 (ambayo haiongezi/haipunguzi kitu) then wanafanya calculations ya game ulizoshinda unachukua chako.
 
Mi nataka nianze na hawa wa mchana ...

Spartak Sub 3+
Lyngby GG
Bulleen Lions II>
Home Utd II>
-------------------------
Total Odds = 9.11

Stake 20K
RAT 152K
 
Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, jana kuna mechi 3 nilibeti kati ya hizo mechi moja ilikuwa cancelled na nyingine mbili zilienda safi.

Sasa mpaka sasa Mkeka wangu unasoma pending na hiyo mechi ya Vasalund If Vs Pitea If bado iko pending na sijui itachezwa ini

hiyo haina shida jembe.yakipita masaa 48 kwa meridian wanakupa odd 1 kwa hiyo mechi. Meridian wapo fasta ila premier baada ya siku tatu au nne. Mm mwenyewe juz meridian waliniwekea hela na jana premier wameweka hela katika mkeka ambao ulikua pending sku 4.
 
Club Friendly Games - FK Spartak Subotica - FC Mordovia Saransk
FC Mordovia Saransk X/2 odd 2.12
WK-League - Jeonbuk Kspo FC - Hyundai Steel Y Odd 1.76
total odds 3.731
ngoja nistest 50k kwanza
 
Back
Top Bottom