Sturmius
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 316
- 333
Du sawa kabisa nilimaanisha X2 pamoja sanax2 =x/L
Du sawa kabisa nilimaanisha X2 pamoja sanax2 =x/L
Sijui nikufuate hapo na 100K?
Mkali hiyo mia iache hadi kesho. Kesho kuna Y nyingi tu ikiwemo ya yanga nyeupeeee. Najua lazima afungwe 2-1 au 3-1 au 1-1 au wafinland wamejaa kibao.
Chukua N ya Italy uongeze mtaji, nawaza kuwapa under 0.5.Sawa sawa mkuu, ngoja nivute subra tu ... nimeona kesho kuna mechi nyingi sana! [emoji28][emoji28][emoji28]
Nimekoma kubet katika iyo ligi, juzi kuna mdau alitaka kujilipua uko nikamwambia akae chini afikirie vizurijana kuna mbwa pia anaitwa palmeiras ni hvyo hvyo.. inaonekana hii league ya brazil serie A hai reflect hali halisi ya form ya timu wala position..
mkuu wewe leo umetokajee tudese aiseeAchana na game ya Italy mkuu, draw nje nje hapo!
Mm haijawahi tokeaJana niliacha 5k kwenye account yangu ya meridian ila sasa hv haipo. Hili tatizo limeshawai kumtokea yetote? Nataka niwasiliane nao sasa hv
polee mzeirMm Terek Groziny kasepa na kijiji cha point 29,duh! so boring
inasound mkalii kila lakheri nakufata tupige wote nmekosa pozi kuandaa mkeka maana nmekuwa kama sielewi kila mkeka chaaaliii wino mwekundu ume metastasize kwenye mikeka yanguuNatoka hivi
Ljungskile SK vs Varbergs Bois
Over/Under Full time 2.5
Bashiri: U
Odds: 1.62
England vs Iceland
Over/Under Full time 2.5
Bashiri: U
Odds: 1.66