Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Iv wakuu naomba mnifahamishe vizur.. kwenye kudeposite ktk Premier kwa kutumia TigoPesa ni lazma uingie kweny website yao na kutaja kiasi unachotaka kudeposite then ndio ufanye muhamala kwenye tigopesa.. au unaweza ukafanya muhamala wakat wowote bila kuingia kweny website.
 
Hii Na Mimi Napenda Kuijua Hasa Kwa M Pesa
 
Daah, yan inapigwa penat najiandaa kuingia online nicheze GG 3+ niweke stake 200k iceland wakasawazisha. Bahati yake kanji
 
Nimeshachana mamaaeeee ...

upload_2016-6-27_22-29-45.png
 
Iv wakuu naomba mnifahamishe vizur.. kwenye kudeposite ktk Premier kwa kutumia TigoPesa ni lazma uingie kweny website yao na kutaja kiasi unachotaka kudeposite then ndio ufanye muhamala kwenye tigopesa.. au unaweza ukafanya muhamala wakat wowote bila kuingia kweny website.
Usipoingia reference number utajaza nini? LAZIMA UINGIE.
 
Kwa hizi odds wacha nimfuate england
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1467056460900.jpg
    uploadfromtaptalk1467056460900.jpg
    62.1 KB · Views: 38
Back
Top Bottom