Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah nilishangaa sana Mhindi kumpa Italy odd 4, leo ataliwa sana. Spain hii sio team ya kuipa ushindi dhidi ya Italy ya mwaka huu
 
leo kilichoniokoa ni live Betting italy alipewa 1.30 kua ana win dk ya 80 nkajilipua mshahara wote
 
Natumia Opera Nikiclick Pale Kwenye Kuweka Pesa By Mpesa Priemer Inakuja Option Moja Tu Ya Kulipia Kwa Kutumia Vocha Zao Msaada Browse Ipi Inafaa
 
Back
Top Bottom