Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijajua ni kwa nini Kanjibah kaamua kuzidi kumuamini England kiasi hiki. Dk 45 Iceland anaongoza lkn bado bado Kanji haamini.

Wacha nijilipue to the maximum stake hlf nazima data
 
Sijajua ni kwa nini Kanjibah kaamua kuzidi kumuamini England kiasi hiki. Dk 45 Iceland anaongoza lkn bado bado Kanji haamini.

Wacha nijilipue to the maximum stake hlf nazima data


Take it from me, England hachomoki hii game ... draw sawa lkn sio ushindi kwa England.
 
Sijui na huku atachomoka
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1467060093868.jpg
    uploadfromtaptalk1467060093868.jpg
    27.2 KB · Views: 34
Iv wakuu naomba mnifahamishe vizur.. kwenye kudeposite ktk Premier kwa kutumia TigoPesa ni lazma uingie kweny website yao na kutaja kiasi unachotaka kudeposite then ndio ufanye muhamala kwenye tigopesa.. au unaweza ukafanya muhamala wakat wowote bila kuingia kweny website.
Ndio mpk uingie
 
Wale mliompa England ushindi jiandaeni kwa lolote. Naiona double chance in favour of Iceland ... X2


I said it, England are OUT. Sijui nilijiroga nini kuweka U 2.5 badala ya kucheza double chance X2 grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Aisee yaani Leo mikeka imechanika mpk basi, ila nimegundua deal sasa hv ni kugeuza predictions ziwe kinyume cha mategemeo ya wengi, hapo utakula mingo!!
 
BIG UP sn mwana ... hii game kabla haijaanza kuna kitu kilikuwa kinaniambia Iceland anafuzu quarter finals. Lakini bahati mbaya nlikuwa nmeshatupia Under 2.5, daah nmepishana na hela mingi sn
pole sana mkuu mie namsubiri huyo harass kanjibahi akikaza baasi
 
Back
Top Bottom