Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mhindi ukimtest lazima ushinde. Nilimpa win Italy na iceland odds over 37 sema nikaweka stake kiduchu sana. Sasa hivi najuta. Hii nafasi wangeipata watu kama kina Wa kusoma na ma odds makubwa muhindi angekaa.
 
Nilipoona hizi odds wakati wa HT nikadhani huyu mhindi anatania. Tatizo akaweka stake limit
Nilitaka nitupie 1M
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-28-05-07-07.png
    Screenshot_2016-06-28-05-07-07.png
    21.7 KB · Views: 36
Nilipoona hizi odds wakati wa HT nikadhani huyu mhindi anatania. Tatizo akaweka stake limit
Nilitaka nitupie 1M

ungejiunga meridian ungeweka stake yoyote ungempiga jembe. mm mwenyewe niliweka 100k dk ya 70 muhindi alitoa 2.15 kama matokeo yatabaki 2-1, mzee wa kujitoa ufahamu kama kawa nikatupia. kama kawa muhindi akakaa
 
Yani leo kiujumla kuna mechi nyng sna ... tushindwe sisi tu. Club friendlies, Finland, UEFA qualification, China, CAF Confederation cup etc
mnyoosho haukwepeki....tutaliwa wengi watakula wachache
 
Back
Top Bottom