sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
[emoji38] [emoji39]N
Ngoja tujilipue wote mambo ya kuvuta pin tu
[emoji38] [emoji39]N
Ngoja tujilipue wote mambo ya kuvuta pin tu
Wao kila siku maboresho tu.Ndugu Mteja, Mkekabet haitokuwa hewani kwa muda kuanzia tarehe 28 Juni usiku kwaajili ya maboresho zaidi ya huduma 0745100777/0655112222 18+
Bado 1. .naona yatafika sasa maana wanashambulianaHiii mechi ya Yanga itaninyima pwesaa...... Nimewapa 2+ ni shidaaaa guanzoo ,Jiangsu suning na albitrex Niigata wameshapita....... Nini kimenifanya niwape Yanga 2+.....
Haka 3+ odd 1.50
Ac Oulu 3+ odd1.60
Total odds 2.4
Stake 90k
RAT 193K
Pole mkuuHiii mechi ya Yanga itaninyima pwesaa...... Nimewapa 2+ ni shidaaaa guanzoo ,Jiangsu suning na albitrex Niigata wameshapita....... Nini kimenifanya niwape Yanga 2+.....
najilipua na wewe zotebetti single hapo , au jitoe sadaka kwa zote.
Finland - Ykkonen
GrIFK vs KPV
Tip: Over2.5
Haka vs FC Jazz
Tip: GG
Odds: 1.60
AC Oulu vs KTP
Tip: Over2.5
Odds: 1.60
Mkekabet waliwapa 2.6 nikaweka mahaba pembeni nikawapa Mazembe ningejua ningehamia meridian.hizi point zimenipitia kushoto![]()
hatari!Mkuu mi portugal alichonifanyia sitaki hata kusimulia nimekosa ngapi na nimepoteza ngapi. Odds ilisoma 368 yeye tu ndo kachana.