Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu mwenye namba ya meridian huduma kwa wateja anisaidie hapa tafadhali.
 
Club Friendly Games - FK Spartak Subotica - FC Mordovia Saransk
FC Mordovia Saransk X/2 odd 2.12
WK-League - Jeonbuk Kspo FC - Hyundai Steel Y Odd 1.76
total odds 3.731
ngoja nistest 50k kwanza
[emoji19] [emoji19] [emoji45] dah kanji kashazingua
 
Club Friendly Games - FK Spartak Subotica - FC Mordovia Saransk
FC Mordovia Saransk X/2 odd 2.12
WK-League - Jeonbuk Kspo FC - Hyundai Steel Y Odd 1.76
total odds 3.731
ngoja nistest 50k kwanza

bet lost. Ngoja nisubiri kesho tu. mzuka ukipanda unaweza ukarudisha hela zote kwa muhindi.
 
Nimejaribu kutafuta ufafanuzi kwenye hii option ya tatal goals/both team to score nimekosa. Mwenye uwelewa tafadhali anieleweshe.
 
Kuna ooption kwenye hiyo total goals both team to score.....screenshot ueleweshwe


Nafkiri anamaanisha option hii ...

upload_2016-6-27_16-34-50.png


Yani maana'ke either timu zote zifunge/zisifunge na magoli yawe zaidi/pungufu ya ma3 au ma4 ... itategemea umechagua option ipi sasa.

Mfano, ukichagua YO - inamaana timu zote zifunge goli na jumla ya magoli yawe juu/chini ya 3 au 4.
 
Back
Top Bottom