Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu MSOMSO upo Wapi Kaka? Rudi Uungane Na Mkuu BUDDY, WAKUSOMA Na BOLOGNA muokoe jahazi tayari linazama!! wewe kila siku unambutua kanjibai mara Mil7 mara Mil8 njoo tusafirie nyota zenu nasi tunataka kumbutua huyu kanji.
Asante.
 
Kubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...
sijawahi kubeti lakin nasikia ukibet kwa tamaa itakula kwako daily
 
1466962004445.jpg
 
wanachonifanya international dah wanacheza na kibonde washapigwa mbili na walibak wao tu mhindi aende kibla 250 k
 
Back
Top Bottom