Bet won. Yan ukijaribu unamla, ukiweka stake ya 500k unaliwa.Wajapani hawaelekagi hawa. Ngoja nitest hivi. Kumamoto GG 1.89 jef utd 3+) odd 2.03, gwangju-fc GG 1.82 total odds 6.98. Stake 20000 return after tax(RAT) 139,655/=
Sijui niu-turbo huu kabla hawajaaribu shughuli ... bado timu mbili kwny huu mkeka. Niturbo nipate 125K au niuache nipate 260K
View attachment 360326
Msaada wa kutafuta odd au fweza?Wakusoma na bologna msaada wa mtaji wazeee hali mbaya
Hapo ni fweza tu, maana amna namna odds mbna kila mtu anaziona sema kuzipanga ndio changamotoMsaada wa kutafuta odd au fweza?
Kwa leo kausha sasa
Kumbe hata ningesubiri ningevuta tu ... Hahahaha.
Nice selection for today ...
![]()
Bet WON.Bado nipo kanisani wangu, lkn asbh niliacha nimejaribu
1.Jef 2+
2. Renofa 2+
3. FC Gifu 2+
Odd ilikuwa 2.4 nikaacha nimetupia 50k hebu niangalizieni matokeo
Wala usinitafute kijana mwenzangu. Bet ni kubahatisha lkn kwa nidhamu tu. Hata mm huwa napigwa sana tu. Kuna siku nilipigwa 2M per weekBet WON.
Kuna kila namna ya kukutafuta kjna wng, haiwezekani kila mchkato unapata tu
Ila uko vzurWala usinitafute kijana mwenzangu. Bet ni kubahatisha lkn kwa nidhamu tu. Hata mm huwa napigwa sana tu. Kuna siku nilipigwa 2M per week
Ahaahaaaa na mm hapa nataka France ashinde kweli kazi ipoHahahah ... hapa ndipo tunasemaga mpira unadunda, kuna mkeka nimeweka Under 1.5 hii mechi ya France vs Rep.Ireland, sasa you can imagine kazi niliyonayo na kuminya ... yani mpk dk 90 zinaisha ntakuwa nmetoka jasho la kutosha