Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona mkekabet wamenogewa na biashara, wameweka mpaka basketball...hehe
 
mkekabet America duh



Duuh sijawaelewa kabisa yani ... kwanza interface yao mpya mbaaaaaaaya! halafu haieleweki kbs. Kama upgrades ndo ziko hivi bora waache tu. Huko naondoka kwa muda kwanza ... maana siwaelewi kbs.

 
Duuh sijawaelewa kabisa yani ... kwanza interface yao mpya mbaaaaaaaya! halafu haieleweki kbs. Kama upgrades ndo ziko hivi bora waache tu. Huko naondoka kwa muda kwanza ... maana siwaelewi kbs.

n kwel imekua mbayambaya hata haina mzuka
 
Leo nilikuwa nilale na 500K za Kanjibah km faida, lkn imewapendeza zaidi hawa wachawi wawili leo kumpa Kanjibah ... grrrrrrrrrr

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…