tuanze kubetia mech chache wakuu
hongera sana mkuu , huyu muhind unamuwezea duutuanze kubetia mech chache wakuu
Derry city Over 1.5
Waterford Over 2.5
Belgium WIN
Odds 3.9
All The Best.
hongera mkuu hapo ameka
Pamoja mkuu.....mi niliamua kwenda na single bet tu, tena ya magoli tuhongera mkuu hapo ameka
polee aisee ucku mwema mkuuMkeka umechanwa chanwa vibaya sana.
Usiku mwema wadau.
Pole Sana mkuu Daaa hiyo sijui niseme ni gundu??? Maana ulisacrifice 100k kwa ajili ya kupata 20k ya kupooza machungu na kuondoa gundu lakini wapiSomething not right somewhere ... haiwezekani nikakosa hata single bet. Ngoja nipumzike kwnz kujitafakari ...
View attachment 362015
Hahaha...yaan humu tungekuwa mtaani tungeitwa walozi, mtu mgeni akipita tu mtaani unae, nazingua tu mkuu nmefurahi angalau nimerejesha nilizoliwa leo so naanza upya, nilikuwa nishakata tamaa pia.View attachment 362090
hii beach ni nini na hizi timu nazipata wapi maana znafungana sana leo nmeona niulizee tuuu wakuu msaaada wenu
Hapa nlijitahidi kujihami na double chance lkn bdo 2napgwa
Bet won !!! ... hongera sn Chief
Mkuu si ulitundika daruga?Mimi nimecheza mechi moja wamenila kichwa!
Watakuita mpiga ramli.Hahaha...yaan humu tungekuwa mtaani tungeitwa walozi, mtu mgeni akipita tu mtaani unae, nazingua tu mkuu nmefurahi angalau nimerejesha nilizoliwa leo so naanza upya, nilikuwa nishakata tamaa pia.
Kama kuna mtu keshawahi kuyabinya, tena katika kipindi cha dhiki ndo hapa sasa, nashindwa hata kupumua.Watakuita mpiga ramli.