Acha nibet horse racing kwanza
Leo napumzika
Nipe mkeka wa horse racing mkuu hahahaha
Mzee mwenzangu yamekukuta wewe yaliyonikuta mimi au??? Daah yaan leo mpaka wafanyakazi wenzangu wananiuliza kama naumwa 🙁 :sad:
Andybird mzee wa kujilipua, itakua ule mzigo aliopiga kaurudisha kwa madrid
Dah mkuu mie nimestaafu kwa muda. Baada ya kukalishwa kwa lazima tena magoli 4-2. Hii ni hatari sana hadi naogopa betting mechi ambayo Cr7 hachezi
Chunga tamaa mbaya, chunga tamaa mbaya....... aliimba 20% sasa mie nikausahau hadi leo asubuhi ndio nimeukumbuka.
Ndugu nijibu kitu kimoja, benki kumeendeka leo au? Nisije kuwa nalia lia peke yangu huku kumbe mwanangu maisha andybird yupo,,..
Naona wako in red now mkuu
kuliwa kuliwa tu aseee dah....sitaki kuamini ..... nimeweka 2+ mechi 10 .....mechi ziwe na goli kuanzia mbili..... nkaweka la ten...... .niko vijijini....kurudi town mzeee nacheki nakuta rangi nyekundu kwa PRESTON ..... hawajafikisha goli mbili....dah......
kwel kamal haina adabu yan hyo timu imekuua at the same time me imenpa hela yan nilikuwa nafatilia game toka 0' had 90' gol moja tu in 2nd half. Bahat niliweka double chance .kesho naenda kuchukua mpunga
Haya ndugu zangu leo ni international friendly, hixi game ni rahisi sana kutengeneza hela,
N:B no matter what linda mtaji
Haya ndugu zangu leo ni international friendly, hixi game ni rahisi sana kutengeneza hela,
N:B no matter what linda mtaji