Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani maelezo jinsi ya kudeposit pesa iplay8 kwa tigo pesa. Msaada wakuu.
 
usiku mwema :sleepy:
ucku mwema.png
 
hizi ngoma ni DRAW...naweka moja moja

OFI Crete - Veria

Greuther Furth - St. Pauli

narudi baadae....

bet at your OWN risk...bet responsibly
 
Mzee mwenzangu yamekukuta wewe yaliyonikuta mimi au??? Daah yaan leo mpaka wafanyakazi wenzangu wananiuliza kama naumwa 🙁 :sad:

Dah mkuu mie nimestaafu kwa muda. Baada ya kukalishwa kwa lazima tena magoli 4-2. Hii ni hatari sana hadi naogopa betting mechi ambayo Cr7 hachezi
Andybird mzee wa kujilipua, itakua ule mzigo aliopiga kaurudisha kwa madrid

Chunga tamaa mbaya, chunga tamaa mbaya....... aliimba 20% sasa mie nikausahau hadi leo asubuhi ndio nimeukumbuka.
 
Dah mkuu mie nimestaafu kwa muda. Baada ya kukalishwa kwa lazima tena magoli 4-2. Hii ni hatari sana hadi naogopa betting mechi ambayo Cr7 hachezi

Chunga tamaa mbaya, chunga tamaa mbaya....... aliimba 20% sasa mie nikausahau hadi leo asubuhi ndio nimeukumbuka.

Ndugu nijibu kitu kimoja, benki kumeendeka leo au? Nisije kuwa nalia lia peke yangu huku kumbe mwanangu maisha andybird yupo,,..
 
kuliwa kuliwa tu aseee dah....sitaki kuamini ..... nimeweka 2+ mechi 10 .....mechi ziwe na goli kuanzia mbili..... nkaweka la ten...... .niko vijijini....kurudi town mzeee nacheki nakuta rangi nyekundu kwa PRESTON ..... hawajafikisha goli mbili....dah......
 
kwel kamal haina adabu yan hyo timu imekuua at the same time me imenpa hela yan nilikuwa nafatilia game toka 0' had 90' gol moja tu in 2nd half. Bahat niliweka double chance .kesho naenda kuchukua mpunga
 
Umepiga shilingi ngapi.. Hongera
 
Haya ndugu zangu leo ni international friendly, hixi game ni rahisi sana kutengeneza hela,
N:B no matter what linda mtaji
 
Mwaga mbinu. Maana hizi mechi kwa kutoka suluhu zinaongoza.
 
Haya ndugu zangu leo ni international friendly, hixi game ni rahisi sana kutengeneza hela,
N:B no matter what linda mtaji

Mkuu hebu nieleweshe huko paddypower una withdraw pesa kwa njia zipi?
 
Back
Top Bottom