Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Kweli Mwenyenzi Mungu ana kazi wewe unaomba Vila Nova wasifkshe gol 2 ,uku mimi naomba wafikishe gol 2[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kuna mtu keshawahi kuyabinya, tena katika kipindi cha dhiki ndo hapa sasa, nashindwa hata kupumua.
Hehehe...ni issue.Kweli Mwenyenzi Mungu ana kazi wewe unaomba Vila Nova wasifkshe gol 2 ,uku mimi naomba wafikishe gol 2[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado 1 mkeka wangu utiki.Hehehe...ni issue.
Hahahahaaa...na mie bado dak 15 wangu utiki, niombee tu mkuu nimeteseka sana usione mpaka nikaamua kucheza hivyo kwa hasira.Bado 1 mkeka wangu utiki.
Ahahaha bado 8Hahahahaaa...na mie bado dak 15 wangu utiki, niombee tu mkuu nimeteseka sana usione mpaka nikaamua kucheza hivyo kwa hasira.
Bado dakika 1Hahahahaaa...na mie bado dak 15 wangu utiki, niombee tu mkuu nimeteseka sana usione mpaka nikaamua kucheza hivyo kwa hasira.
Nakaribia kuzimia.Bado dakika 1
Ahahaha 1-0Nakaribia kuzimia.
Hahaha...angeruhusu tu goli angechana yote miwili, sifa na utukufu ni kwako Mungu wa Abraham! [emoji120]Ahahaha 1-0
nilipga turbo mmoja nikauacha huu
Mjomba umepotea sana kama kamanda mnyika.....kwema lakini
BetwonMtoko Wa pili.....baada ya Wa awali kukata roho
Hongera kaka, kwa sasa inabidi kuvua kwa kujihami, kokoro kwanza.Betwon
He he he...kumbe watu mnarusha mikokoro kimyakimya enh?
Mchawi kama kawaida hakosekani, Belgium
Ha ha ha ha haHe he he...kumbe watu mnarusha mikokoro kimyakimya enh?
jaman msaada jins ya kuweka fedha mkeka bet
Mkuu si ulitundika daruga?