Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkekabet badala ya kuboresha mfumo wao wameharibu.
Nashindwa kufanya chochote na hawa jamaa...
Nasubmit ticket haionyeshi potential winning wala status ya tiketi.

Au ndo wameamua kikimbia ????
 
Kwani EPL ndio rahisi kumpiga kanjibai au mwendo utakua ni ule ule?
 
Hahaha...mchawi, kidogo tu nitupie mkeka wa under 4.5 na leo, saizi ningekuwa najipoza na konyagi.
Friendlies Hazitabirikagi. Unaweza Ukawapa Watu Kumbe Wamechezesha Reserves Timu Iko Mapumzikoni Matokeo Yake Wanapigwa Na Vitimu Vya Ajabu. Au Ukaweka Magoli Mengi Wakafungana Machache Au Ukaweka Under Unakuta Mtu Anapigwa 26...
 
meridian imegoma ndio imeachia nimemuokota 10k live
 

Attachments

  • liv.png
    3 KB · Views: 37
Msaaàda
Mfano nimekuta total goal 0.5 over/under odd 2
1.5 over/under 0dd 3
2.5 over/under odd4
Apaaaaa mana ake nini msaada please
 


BET WON........dah hii game ilinipa presha maana hadi dk91 aliyeshinda alikua kapigwa 1-0 na niliiipa mikeka miwil wa WIN na OVER .Yote WON
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…