Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari wadau, ... kwa mnaotupia, chekini hizi pts/odds, naona ni hela hii ...

Jeonbuk Motors (1.67)
Ceres FC (1.60)
C-Osaka (1.85)
Jeju Utd (2.30)

All to Win (total odds = 11.35)
**Au unaweza ukachukua timu 2
 
Habari wadau, ... kwa mnaotupia, chekini hizi pts/odds, naona ni hela hii ...

Jeonbuk Motors (1.67)
Ceres FC (1.60)
C-Osaka (1.85)
Jeju Utd (2.30)

All to Win (total odds = 11.35)
**Au unaweza ukachukua timu 2
Nakufuata mkuu,potelea mbali.
 
hela nyingine hii hapa ...

Gwangju vs Pohang Y (1.85)
Ceres FC vs Brunei DPMM Over 2.5 (1.48)
Tianjin Teda (1.77)

Total odds = 4.85
 
Habari wadau, ... kwa mnaotupia, chekini hizi pts/odds, naona ni hela hii ...

Jeonbuk Motors (1.67)
Ceres FC (1.60)
C-Osaka (1.85)
Jeju Utd (2.30)

All to Win (total odds = 11.35)
**Au unaweza ukachukua timu 2
Umerudi?
 
Mechi saa 12:00am

Yamaga Win/Draw
Zweigen Win/Draw
Tokyo Verd Win/Draw

Odds 2.29


All the Best Wadau.
 
Hii ni kazi kama kazi zingine
Usimdharau mtu anaeshinda siku nzima kuangalia ampe nani ushindi
Tena hii ni kazi isiyo ya kukariri uahitaji akili zaidi

Kiufupi anaweza kukuzidi kipato kwa kubet

Waheshimuni maana serikali imeshindwa jenga viwanda

Betting inalipa kodi maana yake ni halali
Ingekuwa haramu usingeona vat kwenye bet
 


Very well said Root.
 
Umenena mkuu,wengine kazi hii imewatajirisha kama akina Billy Walters
 

Nani alinifuata hapo. MZEE WA Y KAMA KAWA NACHEKA MDA HUU. BET WON, Ngoja niwasome wavietnam mda huu.
 
Habari zenu wandugu. Ushauri wa Buddy hapo juu ni mzuri japokuwa sisi tupo likizo lakini jana nilielekeza watu mme German Y mimi nikaweka stake Zero nikalala.

Leo jaribuni tena hivi
Jeanbuk win
Ceres win
odds 2.7
Stake 0
 
inakuaje lakin mtu mweny malengo ya kimaisha unakuw addict na huu mchezo nimefatilia hata hapa hauna impact yeyote huu mchezo ivo vikaratasi vya kubetia hamli kila siku mnachana nashaur vijana wabetie pesa za madafu
Wewe lazima ni zezeta!!!!!!!!
 
Nani alinifuata hapo. MZEE WA Y KAMA KAWA NACHEKA MDA HUU. BET WON, Ngoja niwasome wavietnam mda huu.

We noma kiongoozi,Mkeka bet hawakuweka Y....Sasa nikawa navizia game ianze wanaweza kuweka...

Duuh! Ile naingia kucheki live bet,ili niweke chaguo la Y...haha..nakuta Tayar Roasso kafanya yake...hahha, Hii nimeikosa hadi nimesikitika[emoji21]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…