Mkuu huko whatsapp mkianzisha mtuambie tutoe namba pm
Wadau mi nilijiunga na bet365 nikadeposit 20usd kwa kutumia visa electron ya nbc then nikajaribu kuwithdraw kama 10 usd. Sasa kwenye withdraw option ipo ya kuwithdraw kurudi kwenye ile kadi niliyotumia kudeposit sasa swali je hii njia inafanyika vp hadi pesa zifike kwny akaunti yangu ya benki mana ninavyojua hizi kadi ni kwa ajili ya kufanya malipo na sio kupokea malipo. Nielewesheni wakuu maana najua wapo wadau humu wanao bet kwenye site za kama kina asram
Leo friend match
mwenye mkeka aweke hapa tuone
Umepiga shilingi ngapi.. Hongera
Wazee wenzangu namba ya ku deposit meridian kwa mpesa ni ipi.....
nimepigwa hadi mtaji
Jamani leo German, USA, Ukraine,Russia, England,Belgium etc
Mimi leo nacheza magoal tu
Karibu ulimwengu wa magoli huku uhakika wa mahela.ni mkubwa
Karibu ulimwengu wa magoli huku uhakika wa mahela.ni mkubwa
Yani kwa hali ilivyokuwa mbaya inabidi tujaribu na huku
Serious heri uwe na uhakika wa kula 50 kuliko milion ya kufikirika