Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nataka mechi nne tu zenye cap slu...nkiweka elfu tano safi...maana kwanzia alhamis iliopita napigwa tu
 
Wadau mi nilijiunga na bet365 nikadeposit 20usd kwa kutumia visa electron ya nbc then nikajaribu kuwithdraw kama 10 usd. Sasa kwenye withdraw option ipo ya kuwithdraw kurudi kwenye ile kadi niliyotumia kudeposit sasa swali je hii njia inafanyika vp hadi pesa zifike kwny akaunti yangu ya benki mana ninavyojua hizi kadi ni kwa ajili ya kufanya malipo na sio kupokea malipo. Nielewesheni wakuu maana najua wapo wadau humu wanao bet kwenye site za kama kina asram
 
Lazima uweke bank details, kwenye account yako halafu kuwithdraw minimum ni dola 60 mkuu.
 
Leo friend match
mwenye mkeka aweke hapa tuone

game za kirafiki huwa mizinguo sana, tim zinauza sana game. Cha msingi dili na special options kama card,goals,gg. Na hata ktk magoli game nyingi za kirafiki zinakua under 2.5
 
Mwendo wa magoli 2-6. 2-5 2+ 0-3
unakusanya vipoint vyako vya 1.36 unaweka dau refu maisha yanasonga.. Hii style ya kubeti nakula daily.. Mechi 6 hadi 5 zatosha

mfn ukiokota team nne zenye wastani wa pointi 1.3 za magoli ukaweka 20000 unaondoka na 60 faida 40

usipende hela kubwa kwa dau dogo utaliwa weee mpk ukome
 
Jamani leo German, USA, Ukraine,Russia, England,Belgium etc
 
Back
Top Bottom