Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usiku mwema daaaaaaaaaaaah......nilimpiga kama laki 3 ndani ya masaa matatu!Nimeweka mzigo kwa Dumbarton alicheza na kitimu kina odd 15, nikaweka goli mbili hadi half time. Mhindi karudisha ela yake yote
 
Dah pole halafu kipindi cha pili ndo kapata goli 3 kabisa
 
Kabaki Palmeiras tu.... Second half under 2.5 ....dah..... Haya bana sijui ndio mchawi mwenyeww
 
Attachments

  • Screenshot_2016-07-05-00-51-22.png
    31.5 KB · Views: 50
Kabaki Palmeiras tu.... Second half under 2.5 ....dah..... Haya bana sijui ndio mchawi mwenyeww
Pole kaka..mchezo unatia sana hasira huu sometimes, kilichonitokea jana sitokaa nisahau, mkeka wa wiki nzima wanachana waarabu under 2.5 wanafungana goli la tatu dakika ya 92 na ndo ilkuwa mechi ya mwisho nibebe 1.7M.

Nikaweka 20,000/= Palmeiras ashinde, kashinda haijawapendeza Mkekabet kunipa pesa yangu wameniwekea nimecheza 200/= na nyengine wameirejesha, tutafika tu.
 
Duuuh...... Na muda wote ilikuwa inasoma 20,000/= baada ya kushinda imekuwa 200/= duuhh!!??? Uhuni kiwango cha PhD..... Mi naona nipumzike tu sasa....
 
pole kamanda au typing errors ulifanya kwenye kuandika stake
 
Hivi wakuu inakuaje kwa kampuni kama Mbet umeshinda lakini hawakutumii hela yako afu ukiwapigia hawapokei simu,kuna namna nyingine ya kupata hela yako/yangu?
 
pole kamanda au typing errors ulifanya kwenye kuandika stake
Waliikata kabisa kaka, wamenikwaza sana washenzi hawa, pia nikacheza za USA wakazigawa moja moja kwa stake waloamua wao wakati nilicheza zote kwa jumla.
 
Wadau hawa m bet vipi nimedraw pesa toka jana haijaingia m pesa nikiangalia kwenye account transaction ipo pending simu nawapigia hawapatikani any one mwenye shida kama hii please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…