TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Wakikurusha unawashtaki..c mchezo halali huu?tena tunalipia kodi kuuubwaa so waangalie tu.[emoji102]Wadau hawa m bet vipi nimedraw pesa toka jana haijaingia m pesa nikiangalia kwenye account transaction ipo pending simu nawapigia hawapatikani any one mwenye shida kama hii please
Hapa ulicheza option gani mkuu??
Vipi vijana? Nipeni matokeo ya Kristianstad v landskrona
Hahahahaa...mzee mwenzangu imebidi nicheke tu maana mie mwenyewe hapa anajua Mungu tu.Kipindi cha pili magoli yasifike matatu...
Sipendagi kabisa kucheza mechi ya Brazil ya usiku sijui nini kimenishawishi nikacheza......Hahahahaa...mzee mwenzangu imebidi nicheke tu maana mie mwenyewe hapa anajua Mungu tu.
niaje? naomba ufafanuzi wa hii type ya betSipendagi kabisa kucheza mechi ya Brazil ya usiku sijui nini kimenishawishi nikacheza......
niaje? naomba ufafanuzi wa hii type ya bet
Clean Sheet Bets
This bet is placed on a team and states that the team won’t conceive a goal. The team you’ve placed your bet on must not conceive a goal during the regular time of the match in order for you to win the bet. If your team conceives a goal then your bet loses. Also, if your team scores an own goal then your bet loses.
CLEAN SHEET
KWA MFANO NIMEBET TAIFA STARS FIRST HALF CLEANSHEET MATOKEO YANAPASWA YAWEJE ILI NIWE NIME WIN?
ahsante ngoja niijaribu teh teh1. Home team cleansheet fulltime.... hapa timu nyumbani inatakiwa isiruhusu kufungwa goli mechi nzima
2. Home team cleansheet firsthalff ....timu ya nyumbani isiruhusu goli kipindi cha kwanza
3. Home team cleansheet second half .., timu ya nyumbani isiruhusu goli kipindi cha pili
Hivyohivyo kwa AWAY TEAM.....
Mie ndo odds zangu hizo huna ubavu wa kustake we kaushia tu.Mwana,hiyo Odd ya 1.30 ni ndogo sana...Hela ya stake bora ukalie nyama choma na Lager[emoji5][emoji5][emoji5]
Mkuu sasa hv hela ni nje nje.Natamani sana kurudi mchezoni. Hahaaaaaaaaaa. Kweli huu ni uraibu jamani
Nipe odd 2 niweke bukuMkuu sasa hv hela ni nje nje.
Nimetest
Kachana mkeka wangu,kashindwa kuongeza la pili.Kaka ungempa ushindi wa moja kwa moja Astana. Wanaweza sn hawa jamaa ... ktk game 10 atakuangusha game 1 au 2 tu. Wenye mitaji, Club friendlies zinatoa magoli mengi sn, wekeni 2+ au 3+ ... ushindi wa moja kwa moja kimeo
Cheza under 2.5 mechi za Europa na UEFA, hakuna mechi itazidi goli mbili pale.Buddy nataka kurudi nipe odd 2 tu