[emoji3581][emoji3581]ODDS 2676B2D75
Mkeka hauna mambo mengi ni over,double chance na direct win
Ukichanika ni Simba kaharibu.
Odds 100 wanaoanza kubet ndio kaz yao mm mwisho odds 2Humu ukishare odds ndogo hata zikitick huwezi kuona mtu anashukuru sababu ili uone pesa kwenye odds chache lazima stake iwe kubwa. So wengi tunataka kuona code ina odds 100 na kuendelea ndo tunahisi italeta pesa ndefu.
Na codes zenyewe zinasindikizwa na maneno fulani ya hamasa unaona kabisa hii yenyewe. Sawa utapita na kila code inayoletwa humu na kuweka mia mia.
Lakini usijidharau sana, jaribu na wewe kuweka mkeka wako ujaribu bahati yako. Trust your guts.
Ukisuka mkeka wewe mwenyewe tena wa games chache unajipa uwanja mpana wa kuchambua kwa undani. Hapo unakua na ligi zako unazoziaminia, au teams au masoko. Then unabaki kusubiri kama bahati siku hiyo itakua upande wako.
kuna watu mnalia wengn wanafuraiaLeo Kanji katajirika
Asante sana Mkuu umeupiga mwingi...Nimepata ya supu[emoji3581][emoji3581]ODDS 26
Bado upo chekechea utajifunza sana.Mambo 5Niliyojifunza kuhusu betting 1.:betting sio ajira bali ni starehe. 2: ukiwa na shida usibet mfano unadeni la sh.laki1 then mfukon una 30k useme eti unatafuta odds 4 utie mzigo iliulipe deni niamin mm utapotez hiyo hela bure
3: usikimbilie odds za kanji ety kisa kapewa odds ndogo bali fata uhalisia(form) na uwezo wa timu mfano leo AZ AKAMAR vs AJAX kwa mpenda mpira ilkuwa ni rahis kumpa AZ direct win
4: usibetie mech zaid ya 5 kwa siku hata kama una buku usizarau kupata elf 15 au 20 inatosha kulko kuliwa buk kila siku
5: weka kiasi ambacho hakium hata ikitokea mkeka umechanika .
Mwisho kasa kubet sio ajira
Mkeka wetu haujatiki kati ya timu 51 zimetoa 48 tu,
Man city kashindwa kutoa over 0.5
Villareal kashindwa kutoa double chance WD
Porto kashindwa kutoa over 1.5
Mpambanaji hachoki.View attachment 2776247
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wanakaba balaaa1xbet ni bora uwale hela kuliko wakupe cash out
Hahahaha bora mkuu ututoe stress za kanjicc nabii mr pipa siku nyingine unitag nikupe muongozo kwa nin unitag mimi kwanza najua kujisifu mpaka unakereka pili kwa siku nina chambua team karibia mia700 kwa vitendo ambapo kwa humu hakuna kichwa chenye uwezo wa kufanya hvy 3 mm ni nabii wa mikeka mi huwa naona hadi kesho ya team husika najua utabisha angalia comment zangu za nyuma huwa nawapa watu muongozo kabla., mfano jana nimeanza shangilia ushind wa yanga kabla ya lisaa limoja yanga hawajaanza mech kwenye unabii nishawah tabir mech ya simb na yanga humu nikaweka na uzi kabla ya wiki mbil mech hazijaanza na ulitimia unabii na hapa nipo kwenye reserch .,ila zingatia kutokuleta ma code ya hovyo tukala hasara
Achana na Barcelona kuna pimbii mwingine napoli kanikosesha mpunga wa maanaHii ni mechi ya pili kwa baselona akiwa ugenini tena na timu dhaifu akidroo!!
Ukiangalia michezo yote yeye anatokea nyuma kupata hizo droo!!
Na changamoto kubwa ni kujiamini kwao kulikopitiliza, wanacheza kana kwamba wako peke yao na kwamba wao wanajua zaidi, hawana haraka , hawana kiu ya ushindi wakiamini muda na ushindi uko upande wao!!
Kiuwezo ni kweli ni timu ya watoto na wanavipaji haswa ila kwa bahati mbaya utoto unapitiliza Hadi kwenye mechi za kupata matokeo!! Hizi mechi watakuja zikumbuka kwenye mzunguuko wa pili..
Option pekee kwa hawa nyumbu ni score au win either half,,, ni timu ya watoto ambao wanajua kuna watu wamewawekea pesa hivyo wanacheza wakijua kuna mafala wanaumia ila watafurahia gonga gonga zetu na mwsho watanuna
Hii imeenda 🤣matatizo yasikie kwa wengine tu, yakikukuta ndiyo utajua kumbe kuna shida.
siku ikikuendea vizuri mikeka yako inawin, wanaolalamika humu mikeka yao imechana wanazilalamikia timu unawaona wamechelewa hawajui kubet wewe ni noma zaidi yao. siku yako ya kuchana ikifika unajiona hujui kubet kabisa