Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii mbinu mnaionaje wadau
Screenshot_2023-10-09-11-36-40-48_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Kuna jamaa kakosa milioni 40 kisa Barca, nilichukua mkeka wake
Mi nimekosa 175,000 kisa Barca.
siku nyingine code ukipewa unitag mnafel sababu kwa nabii hamleti nisaini hamuon mwenzenu nimesain code yake jana amekula pesa na barca ilikuwa team ya mwisho nikasema nguvu ya nabii mr pipa ni kubwa kuliko barca jifunze kuleta code kwa nabii wako wa jf hapa niibaliki
 
396BD53 Bet Pawa: Safari inaanza saa tisa mchana mpaka Saa 5 usiku leo! Tahadhali: Chagua siti ya kukaa inayokufaa maana kuna siti nyingine ndani ya treni zina moto na misumari 😂 (Yan edit) Ni Mie dereva tu ambaye naruhusiwa kukaa siti zote 💪💪 Kama lepzing juzi alitoa draw ya 0-0 na alikuwa nyumbani naamini kila option inaweza kutoa tu haijalishi ni ngumu kiasi gani ilimradi tu una sababu za msingi za kuweka hyo option! Pandeni tukafe wote kwenye hili treni la kifo 😂😂
 
mr pipa hyo mechi ya petrojet ya Egypt ligi 2 vipi inaweza kutoa GG naona ina odds 2.30 GG halafu hao jamaa japo wamekutana Zaman na miaka ya karibuni hawajakutana ila miaka yote waliyokutana naona wametoa GG! Nipe maoni yako mkuu kabla sijatia mzigo maana ili umle kanji ni lazima uweke mechi moja tu vinginevyo tunakula kwa kumbahatisha tu na matren yetu mara moja kwa miaka miwili mpaka mitatu
 
Kwa maoni yangu mimi ni GG
 
sitaki nikuponze wanaweza wakafungana ila kipindi cha pili mi nakufundisha jambo kwenye masoko yako angalia kwenye both to score first half no or yes yaan watafungana kipindi cha kwanza? Ndio au hapana ukikuta yes ina odd kuanzia 4.3 kwenda juu hapo kufungana hakupo haina haja uangalie historia za timu husika hapa nimetumia akili za software za kampun husika ukiona ipo chin ya hapo weka gg wala haina aja kuona ina odd kubwa au ndogo ngoja nitumie utabiri wa kinabii broo hiyo team kwenye maono imegoma kuonekana ila naona no
 
Back
Top Bottom