Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Kampuni za vichochoroni hizo. Piga chiniKuna kampuni moja inaitwa Tmichezo jana nilijaribu kuwithdraw buku asee mpaka leo pesa haijaingia kwenye simu na pesa kwenye account yangu ya tmichezo imekatwa na history ya miamala inaonyesha pesa imetoka
Edit7203098
1D0D1C
SPORTYBET
Nimezitoa X (Twitter)
Mkuu mechi ambazo sio za ligi... Epuka kwenda na over 1.5!.... Utalia daily!Zorya wanagalagala ty uwanjani kutoa over 1.5 imekuwa nongwa
Haha km nikubatisha sio kiivyoo babuPerfect!!! [emoji736]
[emoji736] Norway win 3-0,4-0
[emoji736]Poland win 3-0,3-1
[emoji736]Romania win 2-0,1-0
[emoji736]Spain win 3-2, 2-1 or Draw 2-2
[emoji736] Armenia win 1-0,2-0
Hujaelewa concept hapo!Haha km nikubatisha sio kiivyoo babu
Maana ya home (3:0) handicap , ya romania ina maana gani ??View attachment 2779786
Nimeiokota sehemu nchi weka Ghana
Yaani uko humu tangu hata mahindi hayajaitwa unga!.... Halafu huelewi hata hiyo!?.....Maana ya home (3:0) handicap , ya romania ina maana gani ??
Mkuu Samahani App gani hii aisee..?
Kuishi kooote Mjini umekimbilia offer za Kampuni uchwaraKuna kampuni moja inaitwa Tmichezo jana nilijaribu kuwithdraw buku asee mpaka leo pesa haijaingia kwenye simu na pesa kwenye account yangu ya tmichezo imekatwa na history ya miamala inaonyesha pesa imetoka
Kampa Belarus goli 3 halafu bado Belarus ashindeMaana ya home (3:0) handicap , ya romania ina maana gani ??