Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IBOLQV
Sportpesa hiyo game ni 3 tu za euro qualifications.
Odds ni 4 na points zake.

25E7404
hii sportybet market zile zile ila odds zake zimepungua kidogo.

USHAURI.. jitahidi kukwepa friendly games, hizo ndo zinachana kirahisi.
 
yote yanawezekana tukianza kuchambua timu moja moja weka timu tuanzekuchambua ili tupate tren mana umoja ni nguvu lete timu 20 au 40 za kesho kila mmoja achambue yake tupate anza kuorodhisha mi nahaid kuchambua 6 na wengine wajitokeze dr mambo na yeye kwa kutumia bard google yake achague anazoziweza lengo tupate odd hata 500 uwezo wa kuchambua odd nyng upo isipokuwa naitaji muda wa kutosha
Suree bro tatizo ni Ile kuelewan kuwa pamoja hapo ndio kamzozo
 
F236C5 wale wa leo leo! Dumbukia humo!.... Drop ur edits....

nimebakiza edits 1 tu.. kubaki wa na only 21 games Kati ya hizo games
 
Mrusi konyo Hadi safa bwege anatuwekea dah 🤣🤣🤣 na Bado anatupiga
 

Attachments

  • Screenshot_20231012-112103.png
    Screenshot_20231012-112103.png
    65 KB · Views: 30
IBOLQV
Sportpesa hiyo game ni 3 tu za euro qualifications.
Odds ni 4 na points zake.

25E7404
hii sportybet market zile zile ila odds zake zimepungua kidogo.

USHAURI.. jitahidi kukwepa friendly games, hizo ndo zinachana kirahisi.
Sema kwa mechi chache mngekuwa na screenshot ingependeza sana ili kila mmoja ajaribu
 
Back
Top Bottom