JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
D769CB🏀
SafiiiiPale unaamka asubuhi unakutana na hela ya supu
View attachment 2778411
Huu mkeka ukitiki naenda kuvuta ist new modelHello!
Welcome to the Club!
Millionaires Club!
44C9EE -Sporty, 28k odds
Update
Smoothie into 5k odds-
B8C4F8F
Kama vile Tunabonya bonya hivi!?.... Lakini...
Tazama kwa jicho la 3!
One day mitaa itafurahi!
Martin Luther -I have dream!
Bado sijasema!
Its ones this dream turns into reality!.... Jf itazizima hadi kwa mtaa!
Nntakua na wew bila shaka [emoji1434] pemben nikiwa na shemj ako [emoji2960]One of my dreams, ni kufika San Pedro Island... Caribbean....kabla sijaondoka kwa hii dunia.
I hope betting will get me there!
huo mtaa sa saba kasome kwanza mavitu kama jina languNaomba kujua hii kitu namna ya kufungua account na kuweka Hela na unacheza vip Kuna jamaa yangu mmoja naona kubet kahacha kahamia huku lkn kunielekeza hatakiView attachment 2778649
Hio treni la odds 10 ni yale ya kuweka total ft over .5 hayo ya 1000s ni kuweka direct win ,btts, etcJamani kwanini hadhi ya treni lisiwe na odds kwanzia 2000 na kuendelea maana ni uongo mkubwa treni kuwa na odds 10
NOTE:Nafikiri tu[emoji848]
Tatzo treni za odds nying Sana hazifiki mbali sana, tafuta odds chache mchawi stakeJamani kwanini hadhi ya treni lisiwe na odds kwanzia 2000 na kuendelea maana ni uongo mkubwa treni kuwa na odds 10
NOTE:Nafikiri tu[emoji848]