Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Hata mimi nina jamaa yangu anaujua vizuri huu mchezo nilijaribu kumgusia akaniambia nianze kwanza kupitia pitia YouTube atakuja kunielekeza badae nikishapata logic ya hiyo kituNaomba kujua hii kitu namna ya kufungua account na kuweka Hela na unacheza vip Kuna jamaa yangu mmoja naona kubet kahacha kahamia huku lkn kunielekeza hatakiView attachment 2778649