Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aria AI ya Opera utaipata kwenye beta versions za Opera. AI ya Microsoft (your copilot AI) utaipata kwenye app ya microsoft ya bing.
Ziko Nyingi Sana nimezipata nyingine za kupredict
 
Mrejesho ni kama ifuatavyo:

Jana niliweka mikeka 20, ambapo kila mkeka ulikuwa na timu 5. Kila mkeka nilikuwa nabet kwenye GG na NG, kwa maana ya kwamba mikeka 10 GG na mikeka 10 NG timu zikiwa ni zile zile.

Matokeo: Mikeka yote 20 ilichanika. Baada ya kuangalia bet nikaona kulikuwa na chance ya mikeka baadhi kutiki kama ningepunguza timu kwenye kila mkeka.

Leo nimefanya kitu kile kile, tofauti ni kuwa kila mkeka una timu 3.

Matokeo: Mikeka yote ya NG imechanika. Na mikeka 5 kati ya 10 ya GG imetiki.

Kila mkeka nikuwa naweka stake ya Tsh 20. Na baada ya mikeka ya GG kutiki nikapata Tsh 680.53.

Kwa maana hiyo kwenye mikeka ya NG nilitumia Tsh 200 nikapata Tsh 0 na kwenye GG nilitumia Tsh 200 nikapata 680.53

kwa data hizo unaweza kufanya analysis zaidi na ukaona nini cha kufanya.
Ila mimi kuhusu GG nipo tofauti na wengi sana,hivi kama una guts za kuweka gg,kwa nini usiweke over 1.5 goals haijalishi ni gg au kafunga mmoja?
 
Ila mimi kuhusu GG nipo tofauti na wengi sana,hivi kama una guts za kuweka gg,kwa nini usiweke over 1.5 goals haijalishi ni gg au kafunga mmoja?
 
Wakuu kanji kajichanganya, lipukeni fasta hapo kwenye yellow card, tayari zipo 6 lakini market ya over 5.5 bado hajaitoa
Screenshot_20231011-200239.jpeg
 
Ila mimi kuhusu GG nipo tofauti na wengi sana,hivi kama una guts za kuweka gg,kwa nini usiweke over 1.5 goals haijalishi ni gg au kafunga mmoja?
Tatizo ni odds, ukiweka market ya over 1.5 odds zake ni ndogo tofauti na ukiweka market ya GG.

Let say uamue kutafuta odds 3 kwa market ya GG, ni chini ya gemu tatu tu utakuwa umeshapata japo risk ya kupoteza inakuwa kubwa coz unachagua option ngumu kidogo.

Na kwa market ya total goals ft over 1.5, ukiamua kutafuta odds 3 itakulazimu upate si chini ya gemu 6 au 7, hapa pia risk ya kupoteza iko pale pale tena kubwa.
 
Back
Top Bottom