Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ogopa sana Timu iliyoshinda mechi kuanzia 5 mfululizo,

yan huwa kat ya mechi kuanzia ya 6 mpaka ya 9 lazima kuna moja tu atapoteza kam sio kudraw tena ile Draw kavu kabsa ya bila bila.

Ushahidi wa hilo rejea mechi ya mwisho kati ya Algeria vs Tanzania.
Daaa alafu kuna hela ya maana naisikilizia toka kwake
 
vipi mitego yako

Vip had sahz umefankiwa hata moja?
Mrejesho ni kama ifuatavyo:

Jana niliweka mikeka 20, ambapo kila mkeka ulikuwa na timu 5. Kila mkeka nilikuwa nabet kwenye GG na NG, kwa maana ya kwamba mikeka 10 GG na mikeka 10 NG timu zikiwa ni zile zile.

Matokeo: Mikeka yote 20 ilichanika. Baada ya kuangalia bet nikaona kulikuwa na chance ya mikeka baadhi kutiki kama ningepunguza timu kwenye kila mkeka.

Leo nimefanya kitu kile kile, tofauti ni kuwa kila mkeka una timu 3.

Matokeo: Mikeka yote ya NG imechanika. Na mikeka 5 kati ya 10 ya GG imetiki.

Kila mkeka nikuwa naweka stake ya Tsh 20. Na baada ya mikeka ya GG kutiki nikapata Tsh 680.53.

Kwa maana hiyo kwenye mikeka ya NG nilitumia Tsh 200 nikapata Tsh 0 na kwenye GG nilitumia Tsh 200 nikapata 680.53

kwa data hizo unaweza kufanya analysis zaidi na ukaona nini cha kufanya.
 
ILMU BETTING.....

Kuna kitu kidogo sana SPORTYBET watu Huwa hawakitilii maanani kwenye selections za mechi lakini kina umuhimu mkubwa sana! linapokuja swala la cashout.....

"Live in play available" hii kitu izingatie sana kwenye code ya kimkakati....

Usichague mechi ambayo haina "live in play" juu kabisa kwenye mechi husika!

Pia kuna baadhi ya options zinablock CASHOUT automatically!

Kama, Win to nil no, draw no bet, win either half, nk .... hizi option zitumie katika timu ambazo una uhakika nazo tu!....

Kwa maana hazina CASHOUT

Mfano;
Angalia tofauti iliyopo baina ya hizi mechi 2 hapa chini👇
 
Attachments

  • Screenshot_20231011-172729.png
    Screenshot_20231011-172729.png
    18.1 KB · Views: 34
  • Screenshot_20231011-172711.png
    Screenshot_20231011-172711.png
    17.6 KB · Views: 33
Nenda kwenye Bard.google com..andika maelezo ya prediction kama unaweza andika kama mi nilivyoandika au vyovyote unaweka mechi zako na option unazotaka prediction unaweza ukawaomba wakuambie chxhte kile ni AI iliyo online tofauti na ChatGpt kwahyo maelezo yote watakupatia baada ya kurun algorism..

Kwa mfano unaweza andika hivi ....
please predicts these match and provide the correct score ,clean shots,number of cards,number of corner,Double chance ,score GG or No ,under and over ,win to nill, number of goals in both Half based on the stats, H2h ,Characteristics of the match, Properties of the match and other properties please predict for the latest game

pfk piestany vs spartak myjava
sama vs om al qutain
helsingborgs Of u21 vs halmstads bk u21
el sekka e hadid vs gazl kafr eldwar
DR Mambo AMP umefanya jambo la maana sana kutuelekeza jinsi ya kupredict kwa kutumia AI ya Google. hata hivyo AI ya Google bado ina changamoto kama za real time bots nyingine kama AI ya Microsoft (your copilot AI) na AI ya Opera (Aria AI).

changamoto zenyewe ni:
1: zinapredict vizuri mechi mojamoja utakazoziuliza.
2: haziwezi kukuorodheshea mechi nyingi za kesho:
zikikuorodheshea zitakutajia mechi za ligi kubwa ambazo siyo za kesho. mfano unataka kupata list ya mechi za kesho zitakazotoa over 1.5. ukiiambia bot ikutajie mechi za kesho zitakazotoa over 1.5, itakutajia mechi za ligi kubwa hata kama siyo za kesho, yenyewe inakutajia za ligi kubwa tu hata kama siyo za kesho.
 
Hiyo Your Capilot Ai sijaijua na Aria bado sijaijaribu ila kwa Bard nimeijaribu inaonyesha mpaka mechi za ligi ndogo snaa
 
Mkuu una link zake
 
Hiyo Your Capilot Ai sijaijua na Aria bado sijaijaribu ila kwa Bard nimeijaribu inaonyesha mpaka mechi za ligi ndogo snaa
Aria AI ya Opera utaipata kwenye beta versions za Opera. AI ya Microsoft (your copilot AI) utaipata kwenye app ya microsoft ya bing.
 
Attachments

  • Aria.jpg
    Aria.jpg
    258.8 KB · Views: 26
  • bing logo.jpg
    bing logo.jpg
    9.4 KB · Views: 26
  • bing.jpg
    bing.jpg
    309.6 KB · Views: 24
  • opera beta.jpg
    opera beta.jpg
    5.1 KB · Views: 27
Back
Top Bottom