Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
FB0299
Leo leo
Sportybet
Leo leo
Sportybet
Software gani hiyo chifu
Ukitapeliwa usije kulialia humuUnafanyaje kujiunga?
SV anashindaView attachment 2777574
Hiyo naomba utabiri wako. Itacheza saa mbili usiku. Wamebana market nying pia
Mhindi kateleza kama kambale, hizo mechi zote niliweka GG, ila hadi hapo kuna mtego nishamuwekea na najua atanasa. Itoshe kusema i love you kanjibai....Hapo umeona ingia kwenye uhalisia ujifunze,, stake za leo tupe mrejesho
NI kweli nimokosea kuandika mambo mengi...plz msaada kampuni gani nzuri kwa kubetBetway n kampuni, nadhan unazungumzia kampun gani ya kubet n nzuri?
Sportbet, betpawa, playmasterNI kweli nimokosea kuandika mambo mengi...plz msaada kampuni gani nzuri kwa kubet
vipi mitego yakoMhindi kateleza kama kambale, hizo mechi zote niliweka GG, ila hadi hapo kuna mtego nishamuwekea na najua atanasa. Itoshe kusema i love you kanjibai....View attachment 2777614
Huyu jamaa atakuwa anayunia Bard Artificial intelligence bard.google.com nimeewahi kutumia bard kutabiri na nikashinda Kuna kipindi japo sio Mara zote itakupa matokeo sahihi ila mara nyingi unapiga Hivi vi odds 4,7 na 6...Software gani hiyo chifu
Vip had sahz umefankiwa hata moja?Muhindi ni kama anakuwa anakuangalia unachofanya ili apindishe😂. Ila hii trick ndo nataka nianze kuijaribu leo. Nitaleta mrejesho...
Kwa mfano kwa hiyo mechi ya Sama vs Om alqatainView attachment 2777574
Hiyo naomba utabiri wako. Itacheza saa mbili usiku. Wamebana market nying pia
Safi sana toka nianze kubet wew n mtu wa pili unaongea point sana ulichonikera n kutoweka lipa number tuh peke akeHuyu jamaa atakuwa anayunia Bard Artificial intelligence bard.google.com nimeewahi kutumia bard kutabiri na nikashinda Kuna kipindi japo sio Mara zote itakupa matokeo sahihi ila mara nyingi unapiga Hivi vi odds 4,7 na 6...
Mkuu jaribu fanya hivi ingia Bard.google.com halafu tafuta mechi zake hata nne au mbili au tatu chagua option unayotaka
Me niliandika hivi
please predicts these match and provide the correct score ,Double chance ,score GG or No, number of goals in both Half based on the stats, H2h ,Characteristics of the match, Properties of the match and other properties please predict for the latest game
Halafu nikaandika hizo match mzee utapata uchambuzi mpaka utashangaa
Mzee unataka ucheze basketball au?.Habari ya jioni maafisa vipi mko poa?..samahani naomba kuuliza hivi kwenye basketball 1st half na 1 st quater..hizi zina maana moja au maana mbili tofauti